Vijana vazi la Askari la kiraia ni tshirt/Jersey/traki msiende kwenye usaili mkiwa mmechomekea suruali ya kitambaa na shati na moka hili vazi waachieni raia wa saili za kiraia.
Utarolishwa au kukimbiza upepo na suti yako uone jeshi gumu.
Jeshi siyo kiwanda cha NOVIDA au kampuni ya Vodacom.
Wana hiyo jeuri ya kutia chenja za "Mshati"?Zile nyimbo zenu za TPDF za kudiss PT eti wanapiga push ups kwenye godoro mziache kule mtahenyeshwa mpaka mtaita maji mmaaa.
Leteni Lonja lonja
yaani ww unawaza uafisa !! polisi hawaangalii elimu hata kidogoHivi kwenda kupiga kozi ya uafisa wa polisi wanaangalia sifa gani ya elimu?
Ohooo we nenda umevaa suti yako uwe mng'ao..Hahahahaha hahahahahahahahah dah nimecheka sana mkuu...bora umefumbua watu macho asee kuhusu ilo swala la mavazi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kwani si wamesema wanataka almost Failures Sasa madudu yote haya ya Nini..?? Hizi ni sababu tu za kuwanyima.haya wazalendo aka makuruta nawapa ronja za written
.kwanza jua makundi yote ya kigaidi duniani
.mambo ya karenti isue
.kazi/majukumu ya polisi
.nafasi ya polisi ktk jamii
.Nafasi ya Polisi kama Jeshi la vita
ukija oral
.kwanini unataka kua poti
.kwa taaluma hako utasaidia nini chomboni
.jua jua mambo na majambo ya kitaifa na kimataifa
.konfidensi pia ni mbanga
Hahahahah Mkuu bwana...Kwani Huko si Usaili tu na unaambiwa Usaili lazima uwe smart Sasa shida ni wapi? Hata kama ukienda umependeza na ukachafuka si ndio utafutaji huoo kakaVijana vazi la Askari la kiraia ni tshirt/Jersey/traki msiende kwenye usaili mkiwa mmechomekea suruali ya kitambaa na shati na moka hili vazi waachieni raia wa saili za kiraia.
Utarolishwa au kukimbiza upepo na suti yako uone jeshi gumu.
Jeshi siyo kiwanda cha NOVIDA au kampuni ya Vodacom.
JKT sio lazima sanaHizi ajira za mara ya pili zilizotangazwa mtu anaweza kuomba hata akiwa hajapitia JKT.?
Lakini pia kuna zingine 1000 za polisi naskia zitatoka tenaJKT sio lazima sana
Haya sasa mwenye barua naomba anisaidie niigie kidogo
Wanaunganisha moja kwa moja bossLakini pia kuna zingine 1000 za polisi naskia zitatoka tena
mkuu kumbe kuna written na oral?haya wazalendo aka makuruta nawapa ronja za written
.kwanza jua makundi yote ya kigaidi duniani
.mambo ya karenti isue
.kazi/majukumu ya polisi
.nafasi ya polisi ktk jamii
.Nafasi ya Polisi kama Jeshi la vita
ukija oral
.kwanini unataka kua poti
.kwa taaluma hako utasaidia nini chomboni
.jua jua mambo na majambo ya kitaifa na kimataifa
.konfidensi pia ni mbanga
Naigia kidogo tuu, c unajua tena mambo ya kipolisi n tofauti na kuomba kazi hizi sehemu nyingine
Omba hizi usijipe sana uhakika.Lakini pia kuna zingine 1000 za polisi naskia zitatoka tena
Angalia jina mzalendo, usaili ni wote kuanzia astashahada hadi shahada.Hivi Kwa waliotuma maombi kupitia Kwa RPC kwenda Kwa IGP wale wenye elimu ya shahada,stashahada n.k ndo hao wameitwa kwenye usaili siku ya kesho? Au hao WA kesho ni wa Kada za afya Tu?