Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hivi kwenda kupiga kozi ya uafisa wa polisi wanaangalia sifa gani ya elimu?
 
Hapo Mr.Choo cha Kulipia possibility inakuwaje ukienda Dsm huko?
Ni kumuomba Mungu, upate bahati au connection kwa nnavyoona mimi, kwa mfano, level ya degree walioitwa kwenye usaili ni zaidi ya 1400 lakini nafasi za level ya degree zilizotoka mapema kabisa mwanzoni zilikuwa 50 pekee so the scramble there is real.
 
Na hapo baba kanituma bado hawajaenda.
 
Ni kumuomba Mungu, upate bahati au connection kwa nnavyoona mimi, kwa mfano, level ya degree walioitwa kwenye usaili ni zaidi ya 1400 lakini nafasi za level ya degree zilizotoka mapema kabisa mwanzoni zilikuwa 50 pekee so the scramble there is real.
Kweli kabisa.Ushindani ni Mkubwa sanaa
 
Ni kumuomba Mungu, upate bahati au connection kwa nnavyoona mimi, kwa mfano, level ya degree walioitwa kwenye usaili ni zaidi ya 1400 lakini nafasi za level ya degree zilizotoka mapema kabisa mwanzoni zilikuwa 50 pekee so the scramble there is real.
Real scramble for mzee maana duuuh ... Kati ya shahada 780 walioitwa wanahitajika not more than 100 .. Watu wa hesabu tunasema katika watu 8 anahitajika mmoja
 
Aweeeh tunaondokaaa..

"Wale wasomi" kazi kwenu, kwenye watu 1k+ haumo?? Au vyeti si vya mama ndali nini?

Hahaha tupeni lonja mapot
 
Kwa wale w form 4 na form six Dsm kuna mtu yeyote kapgiwa smu ama kuitwa kwenye usaili?.
 
Back
Top Bottom