Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nyumba za kupanga hzi mtihani unaamka asubuhi uwahi kwenye mishe mishe zako, unakuta viatu vyako hamna nje na aliyevaa hujui, unasubiri masaa yanakatika, muhuni unaona bora uvae viatu vya kike vilivyokuwa pale pale uingine kitaani
 
Haya maisha bhana daah mzee mwenye nyumba anaongeza kodi, yaani siku mbili mbele kwa kushtukiza asee ghafla ghafla na kama hutaki hama.....muhuni nikaona niwashe sabufa nipige chenja tena kwa saut ya juu
Nyumba za watu mtihan sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…