apartment ntakazojenga mimi,mpangaji kodi ikiisha anitafute yeye..asiponitafuta simtafutiiiMungu akitujaalia wakuu tukipate pesa tukumbuke kujenga pia hzi nyumba za kupanga ni kero mno tena sana
Kuna jamaa tulifanya nae usahili mwaka jana,kila tukimaliza tunaenda sehemu kula mihogo tukianza tu stori mbili tatu jamaa anasema yeye CCP ni uhakika na usahili lazma apite ...alikua ana uhakika lazma apitenimepigika sna ,nimebadili id sana sasa safari hii nawakanda,inshallah.
Basi alikuwa ameshika pazuriKuna jamaa tulifanya nae usahili mwaka jana,kila tukimaliza tunaenda sehemu kula mihogo tukianza tu stori mbili tatu jamaa anasema yeye CCP ni uhakika na usahili lazma apite ...alikua ana uhakika lazma apite
Haya maisha bhana mwishowe jamaa alizama chomboni aise
Amini wakati wa Mungu mkuuu ukifka hakuna wa kukwamisha Jambo lako Kama iko iko tu nimekaa na watu Wana mifumo Mambo Yana zingua nilikuwa na Wana hawana mifumo mtu alikuja Kama neema Waka bahatisha muamini Mungunimepigika sna ,nimebadili id sana sasa safari hii nawakanda,inshallah.
Noted champAmini wakati wa Mungu mkuuu ukifka hakuna wa kukwamisha Jambo lako Kama iko iko tu nimekaa na watu Wana mifumo Mambo Yana zingua nilikuwa na Wana hawana mifumo mtu alikuja Kama neema Waka bahatisha muamini Mungu
Mimi nitatoa Tu General Experience na pia nitagusia Kada ya IT kwasababu Mimi pia ni IT.Una experience na interview za IT?
Watu wafupi kama mimi hawakukatwa kibangala mapema kweli??Mimi nitatoa Tu General Experience na pia nitagusia Kada ya IT kwasababu Mimi pia ni IT.
Mwaka Juzi nilishiriki Usahili Hapo Barracks Kurasini, I mean intake waliomaliza hivi Karibuni CCP Moshi tulikuwa nao kwenye Usahili.
Kwa Idadi Degree Wotee Tulikuwa Kama 600+ hivi Ila upande wa IT kama 200+ Diploma na Cheti Hawakuwa Wengi Sanaa.
Kozi ambazo walipita kirahisi kwakuwa Hawakuwa Wengi Yaan nafasi zinazohitajika ni nyingii Watu Wachache ni ushonaji,udereva,na uimbaji.
Unapoenda Pale inatakiwa uwe full uende na Vyeti Vyako vyote halisia sio kopi na pia wanacheki ukakamavu wa mwili ni kama kwata flani hivi wanaangalia unavyopiga(hiyo ni Kwa Mtu mmoja moja) andaa pia hela ya vipimo sijajua Kwa mwaka Huu kama hiyo hela itakuwepo au lah ni buku 5 nadhani. Wanapima sanasana Macho, wanachukua na Damu(ukimwi na magonjwa mengine) pia lkn kuangalia kama ni Mwanaume Kamili au mwanamke Kamili. Na pia wanawapima urefuu kila MTU kujua urefuu wako ni futi Ngapi.
Upande wa Usahili Maswali wanauliza kulingana na Kada Yako na ni marahisi Sana hasa maswali ya oral Yako too general.
Mimi nilikuwa IT Lkn Usahili sikufanya wa IT Ile full hapana, walitukata vibangala pale nikawekwa upande wa forensic bureau Pale Pale Yan ilikuwa ni mtihani kidogo lkn walituelewesha tukaelewa (ingawa sio wote watu Wengine walikuwa ni wabishi Sana), kwahiyo hiyo forensic bureau walituchanganya coz zote za science hivyo oral ikawa ni moja(maswali ya oral huwa hayatabiriki Sana lkn ni too general labda unaweza kuulizwa kirefu cha Polisi au taja ma IGP baada ya Uhuru au utaje ranks za polisi au mission and vision ya Polisi Na maswali ni Kwa Kiingireza kama Kawaida kujieleza Kwa Kifupi swali la lazima kila MTU aliulizwa) lkn written ni Tofauti kulingana na Kada Yako Kwa Mfano Mimi IT nilipiga written ya IT, Mimi napiga Sana Mambo ya network kwahiyo walituclassify IT upande gani kama ni programming, network au database it's depends.
NB: Na walituclassify kila forensic bureau na kozi yake Kutokana Na malalamiko ya Baadhi ya Watu kuwa itakuwaje sasa Usahili wa kitu kigeni ambacho hujasomea afu Ndo wanakusahili ndo wakaamua Hivyo, ingawa Baadhi ya maaskari wakatuona tumezingua kwa kuwa hiyo ilikuwa ni Bonge La feva Kwetu wangetubebabeba Kwa kuwa ni kitu kipya Kwetu wengi hatujasomea.
Sasa nakumbuka pepa ya network ya written ilikuwa na kama maswali 50 na mengi ni ya kuchagua ya kujieleza Yalikuwa hayazidi matano na Maswali Mengi Sanaa waliyatoa kwenye Kitabu cha CCNA by Toddy Lammle hicho Kitabu kina maswali na Majibu yotee ya network. Ila Sisi watu wa forensic hatukufanya practical lkn watu wa IT walifanya ilikuwa ni Kawaida Sanaa masuala ya kusubnet na Nini Yani kama MTU umejiandaa Vizuri Usahili unatusua Vizuri Sanaa.
Trust me kwenye haya mapambano kila mmoja ana Siri yake ya Namna gani atapata hizi nafasi, unachokiamini Hicho hicho kishikirie usikiache Kama Ni Mungu, Au Mganga, Au Mbuyu kikubwa ni Kupambana Tuu ingawa Yotee juu ya yote Bado Mungu Ndo Kila Kitu.. Wapo Ambao Wametoboa Kwenye Ule Usahili Hawakuwa na Mbanga Wowote Ule. na nilichokiona watu wa degree competition Ni KUBWA Sanaa Usahili tulioitwa 600+ waliochaguliwa ni 70+, form four waliochaguliwa walikuwa ni Wengi Sanaa 1000+ huenda mwaka Huu degree wakaongeza Nafasi.
Tuzidi Kuombeana Wakuu Tusikate Tamaa Mungu Ni Wetu Sote.Hivyo Tu Wakuu Nisiwachoshe Sana..
@MrBanksMimi nitatoa Tu General Experience na pia nitagusia Kada ya IT kwasababu Mimi pia ni IT.

Mungu akubariki Sana ,umemaliza kila kituMimi nitatoa Tu General Experience na pia nitagusia Kada ya IT kwasababu Mimi pia ni IT.

Safari hii si umeomba tena mkuuMimi nitatoa Tu General Experience na pia nitagusia Kada ya IT kwasababu Mimi pia ni IT.

Mm nilitolewa mapema sana sikufika kwenye oral interviewBasi alikuwa ameshika pazuri
Hivi saili za mkoani za PT zipoje wakuu, ni maswali au mazoezi tu
Hapa umemaliza kabisa. Naomba niongeze kitu hapa. Usaili uliopita watu hawakupenda kupangwa forensic na hawakuwa na uelewa wa hiyo department ndani ya polisi ingawa kiuhalisia waliopangwa huko naweza kusema kuwa walikuw na mtelezo flan coz at the end waliuliza vitu lightly angalau kwa medics haikuw mpya sana kwa kuwa ni somo lipo.Mimi nitatoa Tu General Experience na pia nitagusia Kada ya IT kwasababu Mimi pia ni IT.
Mwaka Juzi nilishiriki Usahili Hapo Barracks Kurasini, I mean intake waliomaliza hivi Karibuni CCP Moshi tulikuwa nao kwenye Usahili.
Kwa Idadi Degree Wotee Tulikuwa Kama 600+ hivi Ila upande wa IT kama 200+ Diploma na Cheti Hawakuwa Wengi Sanaa.
Kozi ambazo walipita kirahisi kwakuwa Hawakuwa Wengi Yaan nafasi zinazohitajika ni nyingii Watu Wachache ni ushonaji,udereva,na uimbaji.
Unapoenda Pale inatakiwa uwe full uende na Vyeti Vyako vyote halisia sio kopi na pia wanacheki ukakamavu wa mwili ni kama kwata flani hivi wanaangalia unavyopiga(hiyo ni Kwa Mtu mmoja moja) andaa pia hela ya vipimo sijajua Kwa mwaka Huu kama hiyo hela itakuwepo au lah ni buku 5 nadhani. Wanapima sanasana Macho, wanachukua na Damu(ukimwi na magonjwa mengine) pia lkn kuangalia kama ni Mwanaume Kamili au mwanamke Kamili. Na pia wanawapima urefuu kila MTU kujua urefuu wako ni futi Ngapi.
Upande wa Usahili Maswali wanauliza kulingana na Kada Yako na ni marahisi Sana hasa maswali ya oral Yako too general.
Mimi nilikuwa IT Lkn Usahili sikufanya wa IT Ile full hapana, walitukata vibangala pale nikawekwa upande wa forensic bureau Pale Pale Yan ilikuwa ni mtihani kidogo lkn walituelewesha tukaelewa (ingawa sio wote watu Wengine walikuwa ni wabishi Sana), kwahiyo hiyo forensic bureau walituchanganya coz zote za science hivyo oral ikawa ni moja(maswali ya oral huwa hayatabiriki Sana lkn ni too general labda unaweza kuulizwa kirefu cha Polisi au taja ma IGP baada ya Uhuru au utaje ranks za polisi au mission and vision ya Polisi Na maswali ni Kwa Kiingireza kama Kawaida kujieleza Kwa Kifupi swali la lazima kila MTU aliulizwa) lkn written ni Tofauti kulingana na Kada Yako Kwa Mfano Mimi IT nilipiga written ya IT, Mimi napiga Sana Mambo ya network kwahiyo walituclassify IT upande gani kama ni programming, network au database it's depends.
NB: Na walituclassify kila forensic bureau na kozi yake Kutokana Na malalamiko ya Baadhi ya Watu kuwa itakuwaje sasa Usahili wa kitu kigeni ambacho hujasomea afu Ndo wanakusahili ndo wakaamua Hivyo, ingawa Baadhi ya maaskari wakatuona tumezingua kwa kuwa hiyo ilikuwa ni Bonge La feva Kwetu wangetubebabeba Kwa kuwa ni kitu kipya Kwetu wengi hatujasomea.
Sasa nakumbuka pepa ya network ya written ilikuwa na kama maswali 50 na mengi ni ya kuchagua ya kujieleza Yalikuwa hayazidi matano na Maswali Mengi Sanaa waliyatoa kwenye Kitabu cha CCNA by Toddy Lammle hicho Kitabu kina maswali na Majibu yotee ya network. Ila Sisi watu wa forensic hatukufanya practical lkn watu wa IT walifanya ilikuwa ni Kawaida Sanaa masuala ya kusubnet na Nini Yani kama MTU umejiandaa Vizuri Usahili unatusua Vizuri Sanaa.
Trust me kwenye haya mapambano kila mmoja ana Siri yake ya Namna gani atapata hizi nafasi, unachokiamini Hicho hicho kishikirie usikiache Kama Ni Mungu, Au Mganga, Au Mbuyu kikubwa ni Kupambana Tuu ingawa Yotee juu ya yote Bado Mungu Ndo Kila Kitu.. Wapo Ambao Wametoboa Kwenye Ule Usahili Hawakuwa na Mbanga Wowote Ule. na nilichokiona watu wa degree competition Ni KUBWA Sanaa Usahili tulioitwa 600+ waliochaguliwa ni 70+, form four waliochaguliwa walikuwa ni Wengi Sanaa 1000+ huenda mwaka Huu degree wakaongeza Nafasi.
Tuzidi Kuombeana Wakuu Tusikate Tamaa Mungu Ni Wetu Sote.Hivyo Tu Wakuu Nisiwachoshe Sana..
Mwamba apo juu kamaliza kila kituMm nilitolewa mapema sana sikufika kwenye oral interview
Nakubali sana ,endeleeni kuupiga mwingiHapa umemaliza kabisa. Naomba niongeze kitu hapa. Usaili uliopita watu hawakupenda kupangwa forensic na hawakuwa na uelewa wa hiyo department ndani ya polisi ingawa kiuhalisia waliopangwa huko naweza kusema kuwa walikuw na mtelezo flan coz at the end waliuliza vitu lightly angalau kwa medics haikuw mpya sana kwa kuwa ni somo lipo.
So ikitokea jina lako limepangwa forensics bureau, shangilia kabisa. Take your time angalau pitia Google upate A, B,Cs zake at least ujue hata definition ya forensic science and how is it applicable in criminal issues.
FB ni chaka Zuri sana. Watakaopata wataenjoy.
Makamanda wetu wa UT ndio wanakosekana humu ndani kutoa taarifa kwa vijana watafutaji.Uzi umejaa watu wa faida huu.
Kweli mkuu inaonekana ,UT hawatumii jf wengi 😅 kutokana hawapo wengi kma PT.Makamanda wetu wa UT ndio wanakosekana humu ndani kutoa taarifa kwa vijana watafutaji.
Sasa Kujua Kama Umekatwa kibangala au lah ni Ngumu Sana kwasababu kila Hatua unayopita wanarekodi Taarifa Zako kwenye karatasi Zao.Watu wafupi kama mimi hawakukatwa kibangala mapema kweli??