Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kweli Kabisaaa Mkuu Upo Sahihi Sanaa Hata Sisi Maafande Walituambia Tumezingua Sanaa Ilitakiwa Tuwe Wapole wotee tungepiga pepa moja la oral na written Mambo ya forensic bureau kwenye kusahihisha kule wangetubeba Tuuu
Lkn ndo hivyo watu ubishi mwingi na ujuaji mpaka wakaamua kututenganisha.
 
Mungu atupambanie tutoboe na sisi , miaka mitano kitaa sio kitoto , hadi unajiuliza ulimkosea nini Mungu, na muda unaenda , nikikumbuka gharama nilizotumia kuomba pccb hadi kwenda interview Dodoma , mtaji wangu wote nilipita nao , kuanzia nauli na malazi huna ndugu na bado nikala ndoige mpaka kuna muda unakuwa na mgogoro wa nafsi kuhusu hz nafasi , kwamba hata ukiitwa usaili tena usiende kuna ndoige , ila hamna noma Mungu ni wa kwetu sote siku moja tutatoboa
 
Vp Kwa upande Wa fani za afya mkuu diploma
 
Kaka form six lkn unafani inakuaje apao kwenye usaili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…