Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Usiogope mkuuu mambo Yana change muda mwingine jamaa amekata tamaaa na majeshi

Tangu nimeanza kufatilia huu uzi cham umeongea vitu kuntu sana aiseee ..... japo kwa uchache wake ila machamp wanatakiwa kuchukua notice hapa
 
Kaka mimi usail wa mwaka jana UT, nilikula za uso!! Mwaka huu jaman sijui itakuwaje daaah.... Mungu tufanyie wepesi sisi vijana wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu nimeanza kufatilia huu uzi cham umeongea vitu kuntu sana aiseee ..... japo kwa uchache wake ila machamp wanatakiwa kuchukua notice hapa
Sure kukata tamaaa dhambi Sana mkuuu ....Wana walipiga mujibu wa sheria wakasoma chuo wakarudi kujitolea Kuna op ilitimua wote wenye elimu ya juuu Wana wakarudi home , wote watoto wa wakubwa wastaafu vyombo mifumo inazngua Wana wamepambana moja amekata tamaaa na mwambia always mfwende hiz Mambo swala majira ya Mungu tu yakifika. Hakuna wa kuzia Kuna mwana mzee wake Gen ana mkazia mshikaj ana mwambia aje imeenda ngumu kuzama mwana alikuwa na 27 mshua alisema mwamb age imesogea acheki Mambo mengine yakufanya hiz Mambo Mungu anajua hatima ya mtu iko wapi
 
Wazi sana champ
 
Haha hapana mkuu mimi napenda tu kufuatilia mambo ya majeshi ila sipo huko na sina connection boss
UNanikumbusha alipokamatwa Yesu, Petro aliulizwa wewe ni mmoja wao? Alikana sana, wakamwambia hata kuongea kwako unafanana na wanafunzi wa Yesu😅😅😅
Asomaye na ajue
 
Unyama Sana,mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…