Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Oyaaa naskia majina ya pt washayamwaga leo.
Naskia wale vijana wa nje ya jkt na wale wa fani wote usaili Dom.
Mpwapwa kule wameambiwa majina ya walio vikos yatabandikwa kesho. Na wale wa fani usaili 23.1.2022.
Ronjaa hizo
HIkawa Ikawa lonja ya kweli kwamba majina vikosini yashaapelekwa
 
Hii kwel kbsa,me naona magumu sababu hkn wa kunishika mkono.naamin humu ndan kna w2 hawawazi kbs wao njia nyeupe to TP au UT,Kaz yao kusoma maoni ya wenzao tu bas wanatulia,haya maisha bhn
Kuna jamaa mmoja humu huwa anasisitiza kumuomba sana Mungu na kumtegemea yeye especially kama hauna mtu wa kukushika mkono.

Nakumbuka nilishawahi kuwa katika hali kama yako kuhitaji mtu wa kunishika mkono ili niweze kuingia sehemu. Nilisali sana, kila siku nilikuw najitahidi ninavyoenda jogging najog porini na kumuomba Mungu ombi moja kubwa kuwa "aniletee/ ainue watu wa kunishika "mkono.

Kwa imani yangu na kwa maombi yangu, Mungu alitukutanisha na mtu katika hali isiyokuwa na kawaida. Mzee yule alikuw very simple na maisha ya kawaida ila alikuw na connections za ajabu sana. Yani phone book yake akikuonesha unashangaa na kujiuliza huyu mzee kapataje hizo connections na yupo anaendesha zake uber tu.

So since then nimekuwa nikiamini katika Maombi na kumuamin Mungu. Akikupangia sehemu basi itawezekana tu. Kikubwa ni kumuamin yeye. Pia ishi na watu vizur, kuwa mdadisi. Unaweza kuta sehemu unayoishi kuna watu wapo na connections kali tu ila hujui.

Maandiko yanasema tusitegemee akili zetu na tumtumaini yeye na atanyoosha Mapito yetu.

Jumapili njema wapambanaji. Nawatakia heri.
 
Umetoa funzo naamin litatusaidia
 
Encouraging. God is good
 
Hii mzur sn kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…