Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mikoa ambayo haina kambi za jkt zinapunguziwa namba zakuchkua watu yani mfano huwezi linganisha mkoa wa Pwani wenye kambi mbili za jkt na Singida
yenye haina kambi ko hapo nakupinga kwa asilimia zote ipo hvi kiufupi tu mikoa yenye kambi za jkt namba ni kubwa tofauti na mikoa plain
 
Mikoa ambayo haina ni mingi usidhani ni miwili au mitatu
 
Hiki wanachofanya wanakosea sana, wakumbuke kuna watu wamekaa huko vikosini wamejitolea kwa miaka kadhaa ila walinyimwa ajira wakarudishwa mitaani, leo hii wanaonekana hawafai eti hawakuona umuhimu wa jeshi na wanafanya mishe zao mitaani haiko fair
Sio kwamba hawaondoki wataondoka ila kwa namba ndogo nataka nimwambie huyo jamaa hapo juu kuwa kwenye majeshi ya wizara ya mambo ya ndani watu huwa wanapelea kufika namba inayohitajika huwezi kuona tangazo linatolewa uraiani kuwa watu wafanye usaili ila huwa wanakuja vikosini vijana wanafolenishwa na wakat mwingne hta vgezo huna wanakuchukua prompt
 
Hizi ni story tu wala si kweli hata sisi tukiwa kambini tulikuwa tunahadithiana na kupeana moyo tutachuliwa wengi enzi hizo. Naona bado zinaendelea ..mpka leo
Nakupa mfano hai ila sitotaja mkoa wenyewe, wamechukua watu sabini tu sasa kwa idadi hiyo kwa mkoa wakati kuna kambi zinatoa zaidi ya watu mia
 
Wakuu mm nimemaliz kusom 2022 ila natk niend jku Coz nipo visiwan ndio maan napend kuuliza San mambo ya ndan watarudi ten Coz kuna mbanga natk nizitafute lkn sifikirii km uhamiaj na polisi watarudi ten
 
Wakuu mm nimemaliz kusom 2022 ila natk niend jku Coz nipo visiwan ndio maan napend kuuliza San mambo ya ndan watarudi ten Coz kuna mbanga natk nizitafute lkn sifikirii km uhamiaj na polisi watarudi
 
Hivi wewe unachoshindwa kuelewa ni nini kwamba mikoa ambyo haina jkt ni mingi au tofauti ya namba kati ya mikoa yenye kambi za jkt na mikoa ambyo haina?
Mfano polisi wakisema nafasi 1000 huu ni mfano hatujui form 4 wanachukua wangapi kwa level ya hawa form 4 kwa mikoa 30 maanake kila mkoa watatoka thelathini na kitu kwahyo hata wakiongeza idadi kwa mikoa yenye kambi za jkt bado hawawezi kuwa wengi sababu mikoa yenye kambi za jkt ni michache compare na ambayo haina sasa usichoelewa ni nini hapo
 
Vigezo huna wakuchukue tu labda uwe na mbanga nyie jipeni moyo tu wenzenu juzi hapa wamemaliza mikataba yao na mtakutana nao wengi tu kwenye mapambano
 
Huu mtifiano ni kama ule wa ajira za sensa tu, mwisho wa yote wateule wachache ndio wakachaguliwa.

we kifanye sijui nipo kambini sijui nina force namba
kila mtu alisema lake, oh kma sio uvccm hutoboi,watu tukapga sahili na tukatusua, stori za vijiwe vya kahawa watu wanahamishia humu kutokana frustrations na sonona ya kukosa ajira watu wamekua na mitazamo hasi sana
 
Yaani kama una vigezo usahili umefanya vizuri utapita tu haijalishi upo kambini au haupo


Haya mambo ya kambini kuchukuliwa wengi ni story tu .
 
Yaani kama una vigezo usahili umefanya vizuri utapita tu haijalishi upo kambini au haupo


Haya mambo ya kambini kuchukuliwa wengi ni story tu .
Yaani kama una vigezo usahili umefanya vizuri utapita tu haijalishi upo kambini au haupo


Haya mambo ya kambini kuchukuliwa wengi ni story tu .
Mzee ukubali ukatae...wengi huwa wanatoka kambini
 
kwa facts kwamba form wanachukuliwa wengi wa vikosini ni kweli ipo wazi .kwa maana hiyo kwamba mikoa yenye jkt four wengi wanatoka vikosini ✍️.ila haimanishi kuwa kambini una asilimia mia moja kuliko wa mtaani wapo kibao wanarudi mtaani mkataba wao unapoisha.Kila kitu rizki wakuu kama ni yako hata iweje utapata tu.tusikate tamaa tumtegemee mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…