pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 743
- 1,148
Mikoa ambayo haina kambi za jkt zinapunguziwa namba zakuchkua watu yani mfano huwezi linganisha mkoa wa Pwani wenye kambi mbili za jkt na SingidaAjira utapata popote tu hata hao wa mtaani walikuwa vikosini .
Bado kuna ile mikoa hakuna kambi za jkt na hapo utasemaje
Kama upo kikosini jua tu ushindani ni mkubwa wakiwaambia watawafanyia fair wanawadanganya wenzenu hapo majuzi wamemaliza mkataba wamerudi nyumbani hao ilibidi waonewe huruma ila ndio hivyo ajira haziko hivyo ,bado kuna na mujibu wa sheria bado op nyingine za nyuma kazi ipo .
yenye haina kambi ko hapo nakupinga kwa asilimia zote ipo hvi kiufupi tu mikoa yenye kambi za jkt namba ni kubwa tofauti na mikoa plain