Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hahahahah

Kama umeomba pambana upate huu sio wakati wa kumuangalia nani atapata pamoja nami, mkishakuwa pamoja kambini ninyi ni wamoja.
Wala cjaomba nmekujbu kutokana na figure ulonpa ,ukiangalia hyo fga na idadi ya watu ni sawa na kusema wote walioitwa wanaoamba ajira
 
Vijana mlioomba huu ni wakati wa..
1.Kuwa makini.. Rushwa ndo inatembea Sana kipindi hiki, UNAWEZA UKATAPELIWA.

2.Sio kila taarifa/swali ni la msingi.. KUNA WATU WANATAMANI KUWATOA NJE YA RELI (Wengine wapo JF wengine mtaani kwako)

3.MTANGULIZE MUNGU.. Atakuvusha.
 
Ile figa ya 1725 uliweka ya nn ?
Niliweka nikidhani wewe ni mmoja wa vijana walioomba.

Uliponifahamisha wewe si mmoja wao nimekuambia hivi.. KAMA HUKUOMBA USISUMBUKE NA IDADI?

Kwanini unataka kufahamu idadi na wewe si muombaji?
 
Vijana mlioomba huu ni wakati wa..
1.Kuwa makini.. Rushwa ndo inatembea Sana kipindi hiki, UNAWEZA UKATAPELIWA.

2.Sio kila taarifa/swali ni la msingi.. KUNA WATU WANATAMANI KUWATOA NJE YA RELI (Wengine wapo JF wengine mtaani kwako)

3.MTANGULIZE MUNGU.. Atakuvusha

Mmeshatia Nia makamanda msirudi nyuma, USIPOSIMAMA WEWE KUMLINDA MAMA YANGU MIMI KULE SONGEA, UNATAKA NANI AMLINDE MAMA YAKO KULE MOSHI..??

Awiiiih...
 
Hongeren mliopita najua astashahada na cheti kesho ndio mna anaza mchakato
 
kule CCP vijana watafuliwa haswa watasahau kama waliwai kua askari kabla.wakitoka huko watakua na mindset kama ya wenzao
 
Magereza jobs [emoji3516][emoji3516]
 
Vijana nawasihii, Ombeni hizo nafasi usiangalie idadi.. wewe omba.

Usitake kujua idadi, wewe ombaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…