Till next time Mzee..makamanda wa PT nawaombea kheri mtusue, kwenye pdf sijatokea
Kwakweli aisee hizi ajira za majeshi zimesaidia sana kwa kiasi kikubwa mnoo kwa kupunguza idadi ya hawa wataalamu kwa kuwachukuaWataalamu washakuwa wengi lakini wataalamu wa afya wanahitajika chomboni. Kuna transformation ya Hospital ya Hospital ya polisi kuifanya referral Hospital...huwez kufikia hizo levels bila ya kuwa na Medical Doctors level ya degree. Lakini pia jeshi la polisi lina zahanati nyingi sana karibia mikoa yote Tanzania kwa hiyo ni muhimu kuongeza wataalamu hususani wa Clinical Medicine kuoperate huko wilayani na mikoani. Lakini pia kwenye Forensic bureau as well vijana wa afya wanahitajika so kama upo mtaani, hujapata mchongo wa kueleweka kwa nn usijaribu chomboni hahaha.
Kasome PDF mzee utaelewa hukoTANGAZO LA USAILI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini anapenda kuwatangazia kuwa vijana walioomba kuajiriwa na Jeshi la Polisi usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 23/01/2023 hadi tarehe 03/02/2023
nchini kote.
Kwani hiyo tarehe ni lini?
Hawa ni mikoani usaili waoKwa form four bado hazijatoka??
Wakati sahihi utafika tuKaka acha tu utasikia kwa wenzako tu, wahuni nao jau wanakaza
Mm skuomba UT tuuu....
Na ngumi ya sugunyo ikakupapasaNimepigwa ndoige mbaya sana kudadek.
Wameambiwa wachague fire au pt kivipi?Kaanza na fire kesho kila kitu kipo on
Usaili wa JW tayari nafasi 89%
Walioomba fire wameambiwa wachague fire au polisi [emoji23]
JW wanasubiri wengine wamalize
Yaah afsa
kwahyo unazama JW chief?Kaanza na fire kesho kila kitu kipo on
Usaili wa JW tayari nafasi 89%
Walioomba fire wameambiwa wachague fire au polisi [emoji23]
JW wanasubiri wengine wamalize
Ww unaonekana una maelekezo mazito ya PTKaanza na fire kesho kila kitu kipo on
Usaili wa JW tayari nafasi 89%
Walioomba fire wameambiwa wachague fire au polisi [emoji23]
JW wanasubiri wengine wamalize
Ahsante champ, bless up fam utoboe afsaHongereni mlioitwa kwa usaili. Ni hatua ya mwanzo kuelekea kupata kazi. Kufanya kwako vizur usaili + kutafuta connection hapo hapo siku husika kutakuweka kwenye nafasi njema. Sio unamaliza usaili unaenda nyumban..kaa kidogo , usaili uishe, jipendekeze kidogo kwa maafande hapo...kuwa mjanja ila mumtangulize Mungu pia.
Waliokosa kuitwa kwenye usaili msikate tamaa Mungu aendelee kuwatangulia kwenye mapambano mengine. Wenye vigezo msiache kuomba na MT kama mnapenda kuwa kwenye system za haya majeshi.
Mikoani haoKwa form four bado hazijatoka??
Fatilia jina lako kwa RPC huko ulikoomba. Usaili wenu utaanza mapema mikoan huko kabla ya hawa proffesionals.Kwa form four bado hazijatoka??
Magereza siwezi acha kuombaa...nimepigwa nje saili nyingi ila MT lazmaaa niombeeee yaniii ni lazmaaaa