Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wataalamu washakuwa wengi lakini wataalamu wa afya wanahitajika chomboni. Kuna transformation ya Hospital ya Hospital ya polisi kuifanya referral Hospital...huwez kufikia hizo levels bila ya kuwa na Medical Doctors level ya degree. Lakini pia jeshi la polisi lina zahanati nyingi sana karibia mikoa yote Tanzania kwa hiyo ni muhimu kuongeza wataalamu hususani wa Clinical Medicine kuoperate huko wilayani na mikoani. Lakini pia kwenye Forensic bureau as well vijana wa afya wanahitajika so kama upo mtaani, hujapata mchongo wa kueleweka kwa nn usijaribu chomboni hahaha.
Kwakweli aisee hizi ajira za majeshi zimesaidia sana kwa kiasi kikubwa mnoo kwa kupunguza idadi ya hawa wataalamu kwa kuwachukua

Ila mtaani hali ni mbaya
 
TANGAZO LA USAILI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini anapenda kuwatangazia kuwa vijana walioomba kuajiriwa na Jeshi la Polisi usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 23/01/2023 hadi tarehe 03/02/2023
nchini kote.

Kwani hiyo tarehe ni lini?
 
Hongereni mlioitwa kwa usaili. Ni hatua ya mwanzo kuelekea kupata kazi. Kufanya kwako vizur usaili + kutafuta connection hapo hapo siku husika kutakuweka kwenye nafasi njema. Sio unamaliza usaili unaenda nyumban..kaa kidogo , usaili uishe, jipendekeze kidogo kwa maafande hapo...kuwa mjanja ila mumtangulize Mungu pia.

Waliokosa kuitwa kwenye usaili msikate tamaa Mungu aendelee kuwatangulia kwenye mapambano mengine. Wenye vigezo msiache kuomba na MT kama mnapenda kuwa kwenye system za haya majeshi.
 
Ahsante champ, bless up fam utoboe afsa
 
Wadau kwani majina ya usaili mikoani yanapitakana wapiii??
Au sisi ni kwenda hyo tarehe kwa makamanda vikosi moja kwa moja??

Yaani nachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom