Tusibilie uhamiaji tu... Sijui napi tutapigwa chini dahKila la kheri wapambanaji wenzangu .
i feel ure pain champ, mwenyewe nimekula 9-0 PTWana jf wenzangu mliochaguliwa usaili mungu atawasaidia
maisha ndio haya lazma upambane bhanaAcha tu pot na Uhamiaji sikuomba[emoji23]
Uhamiaji sikujarbu hata kusoma tangazo laoAcha tu pot na Uhamiaji sikuomba[emoji23]
Watawapigia simu nadhani kama walivyofanya last yearWakubwa kwa wale wa form 4 kwa mkoa wa Tanga,
Ambae anaweza ona hayo majina kama yamebandikwa fanya hata kupiga picha aunisaidie kwani mm nilifanyia maombi huko alafu nikatembea mikoani tena
Huko unakutana na SUGUNYOOOO
Sawa champ.kwa PT nishashukuru mungu tayarii feel ure pain champ, mwenyewe nimekula 9-0 PT
Nyie ndio mnatuzibia riziki kila mahala jina lipo 😀Fire jina lipo
Polisi jina lipo
Hapa bado JW
Sahihi mkuuLengo nikuona tunafanikiwa mapoti, na tufanikiwe na pdf ya ajira ikitoka mtupe mrejesho pia tushauriane tulifanikiwa wapi,tunakosea wapi
Kaka wamekupapasa hadi wwSawa champ.kwa PT nishashukuru mungu tayari
Mkuu umetoboa hili la leoUhamiaji sikujarbu hata kusoma tangazo lao
Ualimu wa Biology pale kwenye pdf ningewekwa kozi gani?Mkuu umetoboa hili la leo
Kaka Dunia haijawahi kuwa na huruma.na Uwongo wa Ndoto ndio Uhondo wa Ndoto [emoji3578]Kaka wamekupapasa hadi ww