Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Hatari kakaUalimu wa Biology pale kwenye pdf ningewekwa kozi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari kakaUalimu wa Biology pale kwenye pdf ningewekwa kozi gani?
Pole sana mzee.Kaka Dunia haijawahi kuwa na huruma.na Uwongo wa Ndoto ndio Uhondo wa Ndoto [emoji3578]
Sio poa champ...yote hayo ni katika harakati za kupata ajira mkuu.Nilisikia kuna mtu aliweka kadi ya ccm kama kiambatanisho nikafikiri utani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee watu wamerukwa na akili nyie
Mwendo wa kupapaswa tu kaka 😅Hatari kaka
Mwendo wa kupapaswa tu kaka 😅Hatari kaka
Na Kuna majamaa yamekaa home yanasikilizia kwenda CCP moja kwa mojaaaCompetition nayo sio ya kitoto.
Mpaka jina lije kutokea kwenye pdf ya mwisho sio poa.
Ila kama ipo,ipo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba kanitumaNa Kuna majamaa yamekaa home yanasikilizia kwenda CCP moja kwa mojaaa
Usijali champion.kilichochako utakipataMwendo wa kupapaswa tu kaka [emoji28]
Jamaaa na wajua watatu humu wamekosa wanangu wale Wana degree za sayansi walisema tukikosa his bas TenaMajina haya hapa
UhakikaBaba kanituma
Vp mkuuu umetoka na wadau wako?uzi unatembea sana
Jamaaa na wajua watatu humu wamekosa wanangu wale Wana degree za sayansi walisema tukikosa his bas Tena
Kashapita huyoNimeona RADILOGY_Degree kuna Mwamba mmoja tu
Usife moyo mkuuu bado vyombo vikomakamanda wa PT nawaombea kheri mtusue, kwenye pdf sijatokea
All the best. Ni hatua ya kwanza.Wamtumainio bwana. Ni kama mlima Sayuni. Nao hautatikisika kamwe..... Wakuu NAMSHUKURU MUNGU NIMEITWA KWENYE USAHILI... NAWASHUKURU WOTE. WALIOKOSA TUSIKATE TAMAAA
HawakosagiUhakika