Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Duh! siyo poa aisehe have Sana mliofanikiwa kuptita kwenye chujio na kuwa shortlisted niwatakie kheri tu kwenye masahiliano ndugu zangu mimi binafsi kotekote nimeliwa kichwa aisehe si PT si UT anyway maisha yanaendelea ngoja tuendelee kupambana hakuna kukata tamaa.
 
Habari za muda wana jamvi. Me nimepata bahati ya kuona jina kwenye pdf ila changamoto ni kwamb f namba yangu kapewa mtu aliopojuu yangu na me ni bachelor ila wameniandikia diploma. Hii imekaaje niende usail ama nikaushe.msaada plz
Kuna wanangu hawajaona majina na wameniambia wanaenda, we umeona jina alafu unajiuliza??? Be serious
 
Mkuu mimi naandika vitu ambavyo nina uhakika navyo, ukiona nimekubishia kitu ujue nina uhakika nacho, kama kitu sikijui nakaa kimya tu
😂😂😂We si ndo ulisema nyota mbili ya Polisi ana mpigia saluti nyota Moja ya Jeshini. We si ulikua una kaza na fuvu kabisa. Kuna vitu vingine unafaham na vingine unajichoresha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…