mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
ahsante sana luteniHongera mkuu
Haupo pekeyako hata Mimi sugunyo imenipata........kila la kheri muliochaguliwaNimepigwa sugunyoo sipo pia [emoji1373]
Sema hivi vyombo ukifata maelekezo kidogo inakuwa ahueni hata kupigwa pigwa kunapungua, maana nakumbuka mwanangu mmoja jkt siku ya intro tulipitishwa darajani chini mqji kama yote, yule mwamba alitoka akiwa ameloa kidogo weeeh wakamuona alipigwa stiki kama mtoto
Daa CCP na UT NIMEPIGWA SUGUNYO KALI SANA,Umenikumbusha mbali. Ukifuata maelekezo inakuwa si rahis kukukariri, ole wako wakukariri unakuwa wa demo
Hongera mkuu uhamiaji sionipo mkuu
Pole mzee nilijua tu ingekuw ngumu UT kukuita maana kada yako hawakuitaja kule. Ila uje tu huku PT sasa 😂😂😂All the best champ huku wamenitema ...nimebak na ccp na kukomaa na JW
Hahaha nilijilipua tu mkuu.Pole mzee nilijua tu ingekuw ngumu UT kukuita maana kada yako hawakuitaja kule. Ila uje tu huku PT sasa 😂😂😂
Huyu wetu huyu.Pole mzee nilijua tu ingekuw ngumu UT kukuita maana kada yako hawakuitaja kule. Ila uje tu huku PT sasa 😂😂😂
Hahaha umenikumbusha mbali sana mzee hii njia niliwahi tumia na mpaka Leo nimepata kazi dah mungu huyu ni mwema SanaKama unaweza kupata nauli na pesa ya kujikimu nashauri nenda kwenye usaili hata kama hujaitwa.
😂😂Nacheka Ila sio mazuriNikiomba hizi nafasi tena mniite kobe.
Huko huwa ni pahatariHuku napo pia Hola,Duhh Sawa bhana
Niwatakie kila la kheri mapambano mema ndugu zangu [emoji120]
UT huwa sio poa ..nimeapply toka 2018 walikua wanatangaza nafasi chini chini miaka hyo...nilikua napapaswa sanaZT ndoige
PT peresu peresu
UT sugunyo
Nipo hoi[emoji23][emoji23][emoji1373]
Maelekezo mazito bwana mufende...pambania uzamenipo mkuu
Mpapaso ni mkubwa😂😂Nacheka Ila sio mazuri
Duuh, pole mkuu nimesikitika, omba na magerezaHuku napo pia Hola,Duhh Sawa bhana
Niwatakie kila la kheri mapambano mema ndugu zangu [emoji120]
HAkuna kukata tamaa mpaka tunaingia makaburini
Xmonster uliona huu ujumbe...X monster ...Something like that Tutaftane
Cheka tu mkuu usiogope.😂😂Nacheka Ila sio mazuri