Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sema hivi vyombo ukifata maelekezo kidogo inakuwa ahueni hata kupigwa pigwa kunapungua, maana nakumbuka mwanangu mmoja jkt siku ya intro tulipitishwa darajani chini mqji kama yote, yule mwamba alitoka akiwa ameloa kidogo weeeh wakamuona alipigwa stiki kama mtoto

Umenikumbusha mbali. Ukifuata maelekezo inakuwa si rahis kukukariri, ole wako wakukariri unakuwa wa demo
 
Back
Top Bottom