BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Ajira ni 500 polisi au ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni za Zanzibar pekee kiongozView attachment 2488555
Ajira ni 500 polisi au ?
3000 mkuuView attachment 2488555
Ajira ni 500 polisi au ?
Wanaajiri lini hawa jamaaWakuu hv tanapa kupoje?mishe zao
Kwani JW nafasi tayari bossWakuu nani mwenye mbanga ya JW tuingie msata chap.....
Aah hata hivo kutokea kitaa ni ngumu sana aise labd mbanga wako awe generalKuna jamaa mmoja huko juu alitangaza mwenye mbanga amfate PM
Mimi mwenyewe nimekula ndoige kaka ila tumuombe Mungu maisha ni popoteHumu ndani watu wenye wabanga wazito wamo tusaidiane jamani nimekula KO mbili lkn sijakata tamaa kozi hazijaanza
ifeel ure pain champ. bt connection inaanzia kwenye jamii kuna wazee kwenye jamii yetu ukiwalilia shida, wana ongea na wanene,fasta unapewa recommendation ya postHumu ndani watu wenye wabanga wazito wamo tusaidiane jamani nimekula KO mbili lkn sijakata tamaa kozi hazijaanza
Tangulia kwanzaKuna nafasi za kazi ya jeshi uko urusi na malipo ni mazuri tu ,mwenye uhitaji anicheki
Kuwa serious mkuu, watu wapo na shida. Weka vigezo vyao watu wajipime kabla ya kuzama PMKuna nafasi za kazi ya jeshi uko urusi na malipo ni mazuri tu ,mwenye uhitaji anicheki
+7918095-39-01Kuwa serious mkuu, watu wapo na shida. Weka vigezo vyao watu wajipime kabla ya kuzama PM
kueni siliaz bas mbona mnatuma vitu nusunusu+7918095-39-01
tusepe Russia.
salary scale 8.m per month
Warger hawa au sio wanakuweka front line dadek😂+7918095-39-01
tusepe Russia.
salary scale 8.m per month
Mnafanya usaili lini mkuuWale wa RPC Tanga tufahamiane..
Yaan hata sielewi ndo nimepost ili nikishafahamu wenzangu ndo iwe rahisi kujua taarifa nyingineMnafanya usaili lini mkuu
Huu ujinga ndio utawaponzajoin UT link tukavamie UT trh 28
Ulimaliza Elimu ya Secondary Mwaka ganiKwa kuongezea akuguseguse na civics kidg
kwanini mkuu??Huu ujinga ndio utawaponza