Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wakuu nani mwenye mbanga ya JW tuingie msata chap.....
Kwani JW nafasi tayari boss
Kuna jamaa mmoja huko juu alitangaza mwenye mbanga amfate PM
Aah hata hivo kutokea kitaa ni ngumu sana aise labd mbanga wako awe general
Humu ndani watu wenye wabanga wazito wamo tusaidiane jamani nimekula KO mbili lkn sijakata tamaa kozi hazijaanza
Mimi mwenyewe nimekula ndoige kaka ila tumuombe Mungu maisha ni popote
 
Humu ndani watu wenye wabanga wazito wamo tusaidiane jamani nimekula KO mbili lkn sijakata tamaa kozi hazijaanza
ifeel ure pain champ. bt connection inaanzia kwenye jamii kuna wazee kwenye jamii yetu ukiwalilia shida, wana ongea na wanene,fasta unapewa recommendation ya post
online upate mtu wa huruma sana ,hasa hasa wengi wao vishoka tu. na usitegemee sana ndugu wengi waliotusua walisapotiwa na wazazi wao na watu baki.

nakuombea kheri champ huu uzi,mbeleni tutarudi kuucheki kama reference tukiwa tunalinda nchi na mipaka yake.
 
Kwa kuongezea akuguseguse na civics kidg
Ulimaliza Elimu ya Secondary Mwaka gani
Aina za wahamiaji
Kwanini watu wanaama kutoka sehemu moja kwenda nyingi
Madhara na faida za uhamaji wa watu
Taja nchi za jumuiaya ya Africa Mashariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…