Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mara nyingi ukifika kwenye box pale,askari waliokaa upende wako wa kushoto au kulia watakuambia lete vyeti utawapa ....

Then wakati wa kutoka wao wenyewe watavipeleka mlangoni kuna meza inakuwepo, so utavikuta pale kwahio ni muhimu kuvikagua kama vipo vyote kabla hujaondoka.
 
Kuhusu issue ya vipimo:

Mkienda siku ya usaili mtafanyiwa vipimo vya awali tuu kama urefu na uzito,na kuvua nguo kutizama kama kuna any abnormalities mwilini au kama una tattoos pamoja na mishono...

Wakienda sana kama mda utakuepo kulingana na idadi ya watu basi mtapima na ukimwi.

Lakini mnapofika depo sasa vipimo mtapimwa upya vyooootee hadi hepatitis tena kwa umakini wa hali ya juu na vyetimtakaguliwa upyaa.....ndio pale unaskiaga ccp wamerudi watu sjui wamefukuzwa nipamoja na vipimo na vyeti...
 
NB: KAMA UNA MMBANGA HAKIKISHA UNAUNG'ANG'ANIA HADI MWISHO USHINDANI NI MKUBWA KWENYE USAILI WATU NI WENGI.....

LAKINI KAMA HUNA KOMAA MIBANGA UIPATE PALEPALE KWENYE TUKIO KAMA NILIVOSEMA AWALI PAMOJA NA KUMUOMBA MUNGU SANA....
 
Hapa kwenye kuvua nguo Yani unamaanisha zote ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…