Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

dgo c ndo ww ulinitusi kipindi cha nyuma kuwa UT napoteza muda lkn nikaamua kukulushia taulo, monster tunafahamiana ,siwezi kumchora mwanangu. yote kwa yote MUNGU ndio mtoa ridhiki, tutapata tu inshallah.
Kwanza mi sio dogo, jifunze kuheshimu kila mtu itakusaidia. Sasa we unajiona mkubwa na kwa mujbu wa UT hujafkisha hata miaka 31!. Acha dharau.
 
kwa walioko mwanza tu.
Aje mtu mmoja tufanye mipango ya Pembeni

Uwe na qualifications zote (Gamba la JKT, academic certificates na medical check up certificates)

Mengineyo tutaongea USO kwa USO

No free lunch
Mkuu unataka walioitwa usaili au ambao hawakuitwa?
 
Mkuu Dystonia7 naomba kuuliza kikosi cha tehama Kiko maeneo gani?
Yapitie uyajue bt know that the exam will just be simple not too deep maana ndio kwanza for recruitment
 
Yapitie uyajue bt know that the exam will just be simple not too deep maana ndio kwanza for recruitment
Sawa sawa mkuu, Bado sijaelewa ni sehemu gani kikosi Cha tehama kinapatikana kiongozi, kutoka kwenye maelezo ya Bia Ya Moto ni kilwa road maeneo ya bandari nimecheki kwenye google maps naona Kuna kilwa Rd police na Police College sehemu hizo je ni maeneo hayo ?
 
Kwahiyo mkuu unataka kuwa mtu wa kusimamia sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…