Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mnao anza saili leo , toeni lonja wakuu.

Muumba wa mbingu na Ardhi awe pamoja na ninyi.
 
Sawa sawa mkuu, Bado sijaelewa ni sehemu gani kikosi Cha tehama kinapatikana kiongozi, kutoka kwenye maelezo ya Bia Ya Moto ni kilwa road maeneo ya bandari nimecheki kwenye google maps naona Kuna kilwa Rd police na Police College sehemu hizo je ni maeneo hayo ?
Tehama ofisi zao ziko separate na majengo ya PT kule Kurasini wao ni ofisi ukipita unaweza jua ni ofisi binafsi.
 
Wakuu mm naomba kuuliza ktk mshahara wa polisi wa form 4 hiv take home inakua bei gan na baada ya marupurupu anabakia na ngap na ukijuumlish na zile za lindo maan nimeambiwa PT cku iz ni kuzur mno
 
Back
Top Bottom