Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

VIP walioouwa na interview leo kurasini,kimejiri kitu gani?
 
Ajira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s

Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii

Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi

Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine

Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee

Niwatakie upambanaji mwema makamanda
 
NimekuPM
 
Daah tunashukuru, atokee hata wa Polisi mmoja anishike mkono[emoji120]
 
Ajira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s

Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii

Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi

Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine

Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee

Niwatakie upambanaji mwema makamanda
Daah Mungu Akubariki Sana Boss
 
Back
Top Bottom