Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ajira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s

Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii

Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi

Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine

Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee

Niwatakie upambanaji mwema makamanda
Daah Ubarikiwe sana kiongozi naimani wangetokea na watu wa sehemu mbalimbali kama PT,MT,UT,ZM na JW ingependeza sana.
 
Hongereni mapoti mliopo kwenye usahili, Mungu atawapigania Inshallah.... Nmeona hii video nkacheka sana nkacheka sana [emoji23]
 
Champs
Kuna mdogo angu anaingia kwenye oral interview ya pt huko mkoani...

Ukiachana na maelekezo ya juu kama kutembea kwa ukakamavu, kuitika kwa nguvu, kukabidhi vyeti kijeshi....

Ni unaa gani mwingine aufanye kujihakikishia kajina kwenye pdf maana sisi hatuna mbuyu 😃😃

Kwanza wamekuwa shortlisted wako 147 tu 😃😃
 
Yaani wameshortlist usaili wa kwanza tu?
 
Ajira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s

Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii

Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi

Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine

Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee

Niwatakie upambanaji mwema makamanda
😂😂New Member
 
Mungu akubariki Sana mkuu
 
m

msaidie ndugu yangu monster
 
Habarini wakuuu vp kwema, mambo yanakwendaje sikuwepo kabisa aseee nilikuwa sehemu network hamna ila nimerudi kundini wakuuu....vp kuna nini kinaendelea, maana pt sikuomba, ila ut wamenipiga chini.....
 
Back
Top Bottom