Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah Ubarikiwe sana kiongozi naimani wangetokea na watu wa sehemu mbalimbali kama PT,MT,UT,ZM na JW ingependeza sana.Ajira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s
Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii
Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi
Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine
Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee
Niwatakie upambanaji mwema makamanda
Yaani wameshortlist usaili wa kwanza tu?Champs
Kuna mdogo angu anaingia kwenye oral interview ya pt huko mkoani...
Ukiachana na maelekezo ya juu kama kutembea kwa ukakamavu, kuitika kwa nguvu, kukabidhi vyeti kijeshi....
Ni unaa gani mwingine aufanye kujihakikishia kajina kwenye pdf maana sisi hatuna mbuyu 😃😃
Kwanza wamekuwa shortlisted wako 147 tu 😃😃
😂😂New MemberAjira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s
Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii
Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi
Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine
Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee
Niwatakie upambanaji mwema makamanda
Mungu akubariki Sana mkuuAjira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s
Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii
Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi
Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine
Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee
Niwatakie upambanaji mwema makamanda
Zimamoto walioenda usahili wametoa pdf la kwenda koziii
Tuma basi mkuu. Nimcheki dogo angu
msaidie ndugu yangu monsterAjira yangu rasmi serikalini niliipata miaka ya 90’s
Nilishikwa mkono na mtu nisiemfahamu BURE bila kutoa ata sumuni…..Huwenda bila yeye (R.I.P) nisingekuwa hapa nilipo na heshima hii
Nimejitoa kuwashika mkono vijana wawili watakao itaji nafasi za PCCB (wakike 1 na kiume 1)BURE bila senti yako wala return ya kitu chochote kama nilivyofanyiwa mimi
Naimani nao uko mbeleni watawanyanyua wengine
Njoo PM ukiwa na barua yako na CV pekee
Niwatakie upambanaji mwema makamanda
Asee from 500 to 78....sio poa asee....."waliochaguliwa kuhudhuria mafunzo – Jeshi la Zimamoto na Uokoaji" https://www.frf.go.tz/waliochaguliwa-kuhudhuria-mafunzo/
MAJINA WALIOCHAGULIWA JEAHI LA ZIMAMOTO
Sasa km Hawa wanaweza fanya hivi,polisi itakuwaje🤔Asee from 500 to 78....sio poa asee.....
Hapana mkuu, hao waliitwa mia na kidogo.Asee from 500 to 78....sio poa asee.....