Wapige parefu maana jf wote n washua na watu wa biashara na watu wa mambo mazurikwa walioko mwanza tu.
Aje mtu mmoja tufanye mipango ya Pembeni
Uwe na qualifications zote (Gamba la JKT, academic certificates na medical check up certificates)
Mengineyo tutaongea USO kwa USO
No free lunch
Kiongozi nimechelewa kuionaa hiii vipii kwa kesho jumatatu tunaweza fanya kitu?kwa walioko mwanza tu.
Aje mtu mmoja tufanye mipango ya Pembeni
Uwe na qualifications zote (Gamba la JKT, academic certificates na medical check up certificates)
Mengineyo tutaongea USO kwa USO
No free lunch
Nipe namba Pm.Kiongozi nimechelewa kuionaa hiii vipii kwa kesho jumatatu tunaweza fanya kitu?
Dah hili swali lishaulizwa humu na wadau wakamwaga lonja kama zote hebu pitia convos utapata majibuWAKUU SAMAHANI, NIMEITWA USAILI KUPITIA GORM FOUR POLISI, JE NIZINGATIE MAMBO GANI? MASWALI YAPOJE, NA KUHUSI FANI KAMA SINA NINA ASILIMIA ZA KUFAULU? AHSANTENI
Kwamba wanataka kutoa ajira au?Wadau wale wa TPdf ..kama una mbanga sasa hivi mtikise haswaaa ...jikon kunaiva.
@Zodwa nilitaka nikuquote nkakuta ushalike[emoji38][emoji23]Wadau wale wa TPdf ..kama una mbanga sasa hivi mtikise haswaaa ...jikon kunaiva.
Haha nipo Mkuu nafuatilia huu uzi kwa ukaribu [emoji3][emoji3]@Zodwa nilitaka nikuquote nkakuta ushalike[emoji38][emoji23]
Kiongoz kama haupo chomboni fanya mchakato tuzame 😂Haha nipo Mkuu nafuatilia huu uzi kwa ukaribu [emoji3][emoji3]
[emoji28]Salute kwako kamandaHaha nipo Mkuu nafuatilia huu uzi kwa ukaribu [emoji3][emoji3]
ivi waliangalia vigezo vyote kweli?? We mkuu ulikosa kigezo gani mbona watu wamepigwa ndoige sanaWale wa dar degree usaili unafanyikia wapi polisi, nimeulizwa kuna mdau anahitaji kujua mm nimepigwa ndoige![emoji3]
Haha nimekupm mkuuKiongoz kama haupo chomboni fanya mchakato tuzame [emoji23]
Pale kurasiniWale wa dar degree usaili unafanyikia wapi polisi, nimeulizwa kuna mdau anahitaji kujua mm nimepigwa ndoige![emoji3]
Haha salute mkuu[emoji28]Salute kwako kamanda
Maisha Safari ndefu Sana,yana Siri kubwa sana
Me kozi yangu haikuwepo, pia sikuweka leaving fom4 sina, report ya dokta lkn pia SINA MBUYU WA KULISIMAMIA JINA(CONNECTION).ivi waliangalia vigezo vyote kweli?? We mkuu ulikosa kigezo gani mbona watu wamepigwa ndoige sana