Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Baba daktari umuulize maswali ya proffesional kwa kiswahili si itakuw tattoo mkuu. Mitihani ni kiingereza
Nilichomaanisha maswali yanakuja in general knowledge ya maswala ya kipolisi ambayo wanaweza kuuliza ht kwa kiswahili au yanabase kwnye professional yako ambayo obviously ni English... But shukrani nimeelewa
 
Maswali yote ni English theory na oral Kwa upande wa medical. Maana inakuwa ngumu kuuliza Kwa kiswahili
 
Final touch (WATU MLIOITWA UHAMIAJI)
nimekutana na mshkaji alifanya saili ya uhamiaji mwaka jana.

Anasema waliulizwa wataje mipaka (boda) zilizopo Zanzibar, so ni vyema mjue mipaka iliyopo Tanzania kiujumla.

All the best champs.
 
Hivi Pccb kunaingilika wadau. Nataka kujaribu na sina connection. Maana naona kozi walizotaja sio nyingi kivile kama mwaka jana
 
Final touch (WATU MLIOITWA UHAMIAJI)
nimekutana na mshkaji alifanya saili ya uhamiaji mwaka jana.

Anasema waliulizwa wataje mipaka (boda) zilizopo Zanzibar, so ni vyema mjue mipaka iliyopo Tanzania kiujumla.

All the best champs.
Minne ya Zanzibar
Na mitano ya Tz-bara

Huu Uzi pamoja na ule wa magereze since last year nilitamani Sana niwe na comment Ila ndo ushamba wangu nilikuwa nashindwa
All in all ni thread nzuri sana hizi
 
Jua na mbuga za wanyama Kwa order yaan kuanzia mkubwa Hadi mdogo
Jua na national symbol yaan ili nchi iitwe nchi inatakiwa iwe na nn... In short ni civics ya shule ya msingi jua yote pamoja na issue zote za idara husika na baadhi ya mambo ya katiba
 
Nimekula ndoige mapema cheti kimoja kilkosewa Herufi Moja imeongezeka na ya Affidavit regarding to names ninayo hawakutaka kunisikiliza sio poa
Kwaio ukuwa umeishia hapo?
Mbona Kuna mwanangu mmoja alikua anaumia majina mawili na ana affidavit na wamemuelewa kwako vip sijaelewa imekaaje

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwaio ukuwa umeishia hapo?
Mbona Kuna mwanangu mmoja alikua anaumia majina mawili na ana affidavit na wamemuelewa kwako vip sijaelewa imekaaje

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwangu wamekazaa yaani Wanataka nikarekebishee kije clear hawahitaji affidavit yaani wameamua Tu kunitemaa kupunguza idadi Tu na muda wenyewe mchache yaani wameamua kutumia sababu hiyo maana wengi wameshangaa hawaamini manaa kila kitu ninacho clear
 
Nimekula ndoige mapema cheti kimoja kilkosewa Herufi Moja imeongezeka na ya Affidavit regarding to names ninayo hawakutaka kunisikiliza sio poa
Dah mbona sababu nyepesi sana?? Afu hivyo vitu si vina maelekezo yake, labda wameamua wapunguze kwa staili hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…