Chui wakijani
Senior Member
- Jan 8, 2023
- 155
- 154
Ivi kweny usaili wa form 4 kuna watu walio maliza shule 2015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioVp forensic mwaka jana walichukuaaa wengi pia,,??
Nilichomaanisha maswali yanakuja in general knowledge ya maswala ya kipolisi ambayo wanaweza kuuliza ht kwa kiswahili au yanabase kwnye professional yako ambayo obviously ni English... But shukrani nimeelewaBaba daktari umuulize maswali ya proffesional kwa kiswahili si itakuw tattoo mkuu. Mitihani ni kiingereza
Maswali yote ni English theory na oral Kwa upande wa medical. Maana inakuwa ngumu kuuliza Kwa kiswahiliNilichomaanisha maswali yanakuja in general knowledge ya maswala ya kipolisi ambayo wanaweza kuuliza ht kwa kiswahili au yanabase kwnye professional yako ambayo obviously ni English... But shukrani nimeelewa
Jaribu mzee..haikupunguzii chochote. U never knowHivi Pccb kunaingilika wadau. Nataka kujaribu na sina connection. Maana naona kozi walizotaja sio nyingi kivile kama mwaka jana
Piganisha mzeeHivi Pccb kunaingilika wadau. Nataka kujaribu na sina connection. Maana naona kozi walizotaja sio nyingi kivile kama mwaka jana
UMenena chiefPambaneni kiume Kwa njia yoyote Ile
Yani mcheze kichwa na Miguu muotee mchongo.
Kosa kubwa sana ni kukata tamaa ...
Msikate tamaa mtakuja kujuta baadae.
Pambana kijana inawezekana.
Minne ya ZanzibarFinal touch (WATU MLIOITWA UHAMIAJI)
nimekutana na mshkaji alifanya saili ya uhamiaji mwaka jana.
Anasema waliulizwa wataje mipaka (boda) zilizopo Zanzibar, so ni vyema mjue mipaka iliyopo Tanzania kiujumla.
All the best champs.
Pambana KakaHivi Pccb kunaingilika wadau. Nataka kujaribu na sina connection. Maana naona kozi walizotaja sio nyingi kivile kama mwaka jana
Kwaio ukuwa umeishia hapo?Nimekula ndoige mapema cheti kimoja kilkosewa Herufi Moja imeongezeka na ya Affidavit regarding to names ninayo hawakutaka kunisikiliza sio poa
Kwangu wamekazaa yaani Wanataka nikarekebishee kije clear hawahitaji affidavit yaani wameamua Tu kunitemaa kupunguza idadi Tu na muda wenyewe mchache yaani wameamua kutumia sababu hiyo maana wengi wameshangaa hawaamini manaa kila kitu ninacho clearKwaio ukuwa umeishia hapo?
Mbona Kuna mwanangu mmoja alikua anaumia majina mawili na ana affidavit na wamemuelewa kwako vip sijaelewa imekaaje
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dah mbona sababu nyepesi sana?? Afu hivyo vitu si vina maelekezo yake, labda wameamua wapunguze kwa staili hiyo.Nimekula ndoige mapema cheti kimoja kilkosewa Herufi Moja imeongezeka na ya Affidavit regarding to names ninayo hawakutaka kunisikiliza sio poa