Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama ameshindwa PT ..Magereza ataweza?
KAma ana nguvu apambanie humo humooo PT
Pt ana 2015 wao wanataka 2016 hata uwe na mbanga mkubwa kiasi gani huwezi pata hapo kigezo hana waki force ataenda rudishwa

Magereza hawakuweka hizo limitations nahakika Kama ana mbanga na vigezo anavyo ajiandae na safari ya kwenda Kiwira akaungane na kina Kunguru wa Manzese kwenye taasisi moja
 
Haya maisha bhana yani me nina gundu sana ndugu zangu hadi wabanga wananikataa meseji zangu zasomwa blue tick ila hazijibiwi na simu zangu hazipokelewi ,kama wameambiana hawa wabanga [emoji849]
 
Relax mzee.

Usifosi mambo.

Wakati ukifika kila kitu kitakaa mahala pake.

We Amin tu.
Daah mkuu hakuna cha wakati tena, kikubwa sijapata mtu mwenye Nia ya dhati kunisaidia hata sahivi sijachelewa ila ndio hivyo wamenikunjia, Muhimu pumzi tu na afya haya maisha nitajayakumbuka Sana maisha ni watu, kwa uwezo wa mungu wanangu nitahakikisha hawatokuja pata fedheha kama ninayo kumbana nayo Mimi.
 
Nazid pata gazabu nina mwanangu usaili naye kanipigia simu leo asubuhi analalamika kwnye kupimwa macho kaandikiwa abnormal,ameshindwa kusoma herufi/namba walizowekewa,daah huyo mwanangu kahustle Sana naye na ni Operation mererani kujitolea sijui itakuwaje dadeki
 
Mafanikio hayako huko tu kaka.

Badili mtazamo.
 
PT ndy wanapunguzwa hivyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…