Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana JW hawapo?[emoji3][emoji3]Kumbe PT tamu hivi?View attachment 2497372
Achana na jeshi nenda ata Suma au k security
Tusiishi sana kwa neno "huenda "Tusikate Tamaa wakuu huenda 2024 wakarudi tena
Tuishi kivip mkuu🙏Tusiishi sana kwa neno "huenda "
Daah aya ndo mambo napenda ningejua ningeomba PT.Kumbe PT tamu hivi?View attachment 2497372
Tuendelee kupiganisha na mishe zingineTuishi kivip mkuu🙏
Kuomba sio ishu..ungepata?😀Daah aya ndo mambo napenda ningejua ningeomba PT.
[emoji28][emoji28]vigezo ninavyo so Mungu kwanza na kujiamini.Kuomba sio ishu..ungepata?[emoji3]
Pt ana 2015 wao wanataka 2016 hata uwe na mbanga mkubwa kiasi gani huwezi pata hapo kigezo hana waki force ataenda rudishwaKama ameshindwa PT ..Magereza ataweza?
KAma ana nguvu apambanie humo humooo PT
Relax mzee.Haya maisha bhana yani me nina gundu sana ndugu zangu hadi wabanga wananikataa meseji zangu zasomwa blue tick ila hazijibiwi na simu zangu hazipokelewi ,kama wameambiana hawa wabanga [emoji849]
Daaah hadi raha sema Ndio hivyo Ndoto inaelekea kuyeyuka [emoji3578]Kumbe PT tamu hivi?View attachment 2497372
Daah mkuu hakuna cha wakati tena, kikubwa sijapata mtu mwenye Nia ya dhati kunisaidia hata sahivi sijachelewa ila ndio hivyo wamenikunjia, Muhimu pumzi tu na afya haya maisha nitajayakumbuka Sana maisha ni watu, kwa uwezo wa mungu wanangu nitahakikisha hawatokuja pata fedheha kama ninayo kumbana nayo Mimi.Relax mzee.
Usifosi mambo.
Wakati ukifika kila kitu kitakaa mahala pake.
We Amin tu.
Mafanikio hayako huko tu kaka.Daah mkuu hakuna cha wakati tena, kikubwa sijapata mtu mwenye Nia ya dhati kunisaidia hata sahivi sijachelewa ila ndio hivyo wamenikunjia, Muhimu pumzi tu na afya haya maisha nitajayakumbuka Sana maisha ni watu, kwa uwezo wa mungu wanangu nitahakikisha hawatokuja pata fedheha kama ninayo kumbana nayo Mimi.
PT ndy wanapunguzwa hivyo??Nazid pata gazabu nina mwanangu usaili naye kanipigia simu leo asubuhi analalamika kwnye kupimwa macho kaandikiwa abnormal,ameshindwa kusoma herufi/namba walizowekewa,daah huyo mwanangu kahustle Sana naye na ni Operation mererani kujitolea sijui itakuwaje dadeki