John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
Kivipi mkuu jazia nyama kidogoKumbe PT tamu hivi?View attachment 2497372
Tatizo nn?? BrotherDah monduli sio pazuri , kibangala cha Kwanza kisharudishwa makambini ... Wale walioenda juzi military science (madaktar+maengineer)
Unfit au vipi?Dah monduli sio pazuri , kibangala cha Kwanza kisharudishwa makambini ... Wale walioenda juzi military science (madaktar+maengineer)
Broo naona unachopitia aseeh, Pole san mkuu wangu kuwa mvumilivu na jipe moyo huwezi jua pemgine Mwenyezi Mungu anampango mzuri sana nawewe!!Haya maisha bhana yani me nina gundu sana ndugu zangu hadi wabanga wananikataa meseji zangu zasomwa blue tick ila hazijibiwi na simu zangu hazipokelewi ,kama wameambiana hawa wabanga [emoji849]
Wadau wametulia Sanaaaa....leteni hizi abc Kwa ufupiMakamanda mbona hatupati mrejesho wa kundi la kwanza Usaili Kurasini Dar kupitia Makao Makuu
Je usaili umeisha au bado unaendelea maana Leo ndo ilikuwa mwisho, Naombeni Maelekezo kwa anayejua
Hawezi fungua BOMU!!Maisha ya utafutaji kazi magumu Sana kuna mwana mwengine kakutwa na Pengo tu kaambiwa Unfit [emoji849]
Kuna baadhi ya kada wameshamaliza usahili, na Kuna baadhi bado wanamalizia keshoMakamanda mbona hatupati mrejesho wa kundi la kwanza Usaili Kurasini Dar kupitia Makao Makuu
Je usaili umeisha au bado unaendelea maana Leo ndo ilikuwa mwisho, Naombeni Maelekezo kwa anayejua
Kama unatokea msimbazi kariakoo ulizia kituo cha gerezani panda gari zinazoenda mbande wambie wakushushe ufundiKwa wale tunaofnya usaili tarehe 30 ngazi ya degree. Usaili unafanyida dar sehem gani maana nimeona unafanyika DPA sjaelewa location sababu mi mgeni hili Jiji
Usijali kiongozi, ni kipindi cha mpito hikiHaya maisha bhana yani me nina gundu sana ndugu zangu hadi wabanga wananikataa meseji zangu zasomwa blue tick ila hazijibiwi na simu zangu hazipokelewi ,kama wameambiana hawa wabanga [emoji849]
Ukiwa mbezi panda gari la gerezani. Ukifika gerezani panda gari waambie wakuache chuo Cha polisi.Kwa wale tunaofnya usaili tarehe 30 ngazi ya degree. Usaili unafanyida dar sehem gani maana nimeona unafanyika DPA sjaelewa location sababu mi mgeni hili Jiji
Mwangosi hayupo Tena [emoji3]Wazee wa barabara ya mwangosi usaili kesho jmn,.. Nawatakia kila lakheri wakuu... Huu uzi umenifunua kwny mambo mengi sana wakuu,.. Shukrani zang kwenu wakurungwa
Nipo mbagala.. Naachwa wapi nikipanda magari ya huku l.Ukiwa mbezi panda gari la gerezani. Ukifika gerezani panda gari waambie wakuache chuo Cha polisi.
Ukifika buguruni panda gari waambie wakuache uhasibu . Ukishuka ulizia dpa unafika