Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Haya maisha bhana yani me nina gundu sana ndugu zangu hadi wabanga wananikataa meseji zangu zasomwa blue tick ila hazijibiwi na simu zangu hazipokelewi ,kama wameambiana hawa wabanga [emoji849]
Broo naona unachopitia aseeh, Pole san mkuu wangu kuwa mvumilivu na jipe moyo huwezi jua pemgine Mwenyezi Mungu anampango mzuri sana nawewe!!

Giza likizidi sana ndio kunakaribia kukucha

Mungu hakawii wala hawahi ipo siku kwako itakuwa nzuri zaidi!!
 
Makamanda mbona hatupati mrejesho wa kundi la kwanza Usaili Kurasini Dar kupitia Makao Makuu
Je usaili umeisha au bado unaendelea maana Leo ndo ilikuwa mwisho, Naombeni Maelekezo kwa anayejua
 
Kwa wale tunaofnya usaili tarehe 30 ngazi ya degree. Usaili unafanyida dar sehem gani maana nimeona unafanyika DPA sjaelewa location sababu mi mgeni hili Jiji
 
Kuna baadhi ya kada wameshamaliza usahili, na Kuna baadhi bado wanamalizia kesho
 
Kwa wale tunaofnya usaili tarehe 30 ngazi ya degree. Usaili unafanyida dar sehem gani maana nimeona unafanyika DPA sjaelewa location sababu mi mgeni hili Jiji
Kama unatokea msimbazi kariakoo ulizia kituo cha gerezani panda gari zinazoenda mbande wambie wakushushe ufundi
 
Haya maisha bhana yani me nina gundu sana ndugu zangu hadi wabanga wananikataa meseji zangu zasomwa blue tick ila hazijibiwi na simu zangu hazipokelewi ,kama wameambiana hawa wabanga [emoji849]
Usijali kiongozi, ni kipindi cha mpito hiki
 
Kwa wale tunaofnya usaili tarehe 30 ngazi ya degree. Usaili unafanyida dar sehem gani maana nimeona unafanyika DPA sjaelewa location sababu mi mgeni hili Jiji
Ukiwa mbezi panda gari la gerezani. Ukifika gerezani panda gari waambie wakuache chuo Cha polisi.
Ukifika buguruni panda gari waambie wakuache uhasibu . Ukishuka ulizia dpa unafika
 
Nipo mbagala.. Naachwa wapi nikipanda magari ya huku l.
 
Back
Top Bottom