methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Nashukuru mkuu kwa taarifa yakokila kila kikos cha jkt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuu kwa taarifa yakokila kila kikos cha jkt
VyoteWakuu habari zenu kwema....hv kuna kikosi gani jkt wamefanya usaili wa tpdf makambini...kwa anaejua wakuu
Kambini kuna op moja ambayo ni samiaWakuu habari zenu kwema....hv kuna kikosi gani jkt wamefanya usaili wa tpdf makambini...kwa anaejua wakuu
Aaah kumbe kuna op moja tuKambini kuna op moja ambayo ni samia
Hv ni kweli wanafanya usaili kwa madoctor na wenye ujuzi auVyote
Hv ni kweli wanafanya usaili kwa madoctor na wenye ujuzi au
makambini kuna op mbili ambazo ni Op Samia na Op MabeyoKambini kuna op moja ambayo ni samia
Ni sahihi na nimetuma maombi kutumia secondary certificate japo nina elimu ya shahadaMi ninachojua magereza ni form 4 tu,kwa hizi walizotangaza
Ntumie namba kadhaa pm,nakuja next weekMakamanda nipo unguja muda huu,,,
Ushauri kwa vijana.
Kabla haujaoa jaribu kuzunguka kipande hiki utanishukuru though maflat screen ila wapenda sura nzuri kama mimi panatufaa
Bado sana hadi mwisho wa mwezi huuPdf la police bado tuu
Mkuu popote kambi sioNi sahihi na nimetuma maombi kutumia secondary certificate japo nina elimu ya shahada
Unataka kusema unguja wanawake hawana shepu au hahahahahaMakamanda nipo unguja muda huu,,,
Ushauri kwa vijana.
Kabla haujaoa jaribu kuzunguka kipande hiki utanishukuru though maflat screen ila wapenda sura nzuri kama mimi panatufaa
Nitakata tamaa nikiwa kaburiniMkuu popote kambi sio