pdf bado mkuuKwani majina tayari jamani? Au hiyo ni ya mwaka Jana?
kuwa na imani, inawezekana mrakibu wa uhamiajiAnatukatisha tamaa tunaosubiri pdf na hatuna wakubwa zaidi ya ALLAH.
😃😃😃 Mrakibu ndio private Kwa uhamiaji siokuwa na imani, inawezekana mrakibu wa uhamiaji
Una matani ww jamaa..mrakibu mtu mkubwa sana kushinda hata captain wa jeshi😃😃😃 Mrakibu ndio private Kwa uhamiaji sio
utapigwa wewee,superintendendet huko cheo kikubwa sana mkuu😃😃😃 Mrakibu ndio private Kwa uhamiaji sio
Inawezekana kabsa UT wanachukua constable 500, nazani Kwa Tanzania Jeshi linalochukua watu wengi ni PT wanachukuaga zaidi ya 2500 per yearMT nasikia wanataka watu 500 sjui kuna ukwel wowote wakuu au
Ni kama Meja wa JWTZ[emoji2][emoji2][emoji2] Mrakibu ndio private Kwa uhamiaji sio
[emoji2][emoji2][emoji2]wawe wanaulizaa kwanzaa....Una matani ww jamaa..mrakibu mtu mkubwa sana kushinda hata captain wa jeshi
Hao 500 ni certificate, diploma and degree au imekaaje.?Leo nilikuwa na jamaa mmoja hivi nilikutana nae kwenye usahili PT,DPA kada tofauti ananiambia wao walikuwa 20 na walipewa ronja kuwa watachukua wa nne tu,jumla wameambiwa watachukua 500
Jamaa ananiambia wote 2800,yeye kada aliyosomea nimesahauHao 500 ni certificate, diploma and degree au imekaaje.?
Hao 20 ni kada Gani?
Kuna kada ilkuwa na nyomi kama education in curriculum!!daah DPA pagumu sasa lile nyomi la accoutants na wa recording inakuaje
daah hatarii wale jamaa wa ushauri walikua wa 3 tuuKuna kada ilkuwa na nyomi kama education in curriculum!!