Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Leo nilikuwa na jamaa mmoja hivi nilikutana nae kwenye usahili PT,DPA kada tofauti ananiambia wao walikuwa 20 na walipewa ronja kuwa watachukua wa nne tu,jumla wameambiwa watachukua 500
 
Hao 500 ni certificate, diploma and degree au imekaaje.?

Hao 20 ni kada Gani?
 
Back
Top Bottom