Mcheki mrgeneous atakusaidiaMwenye mbanga MT.......maana umri ushaenda tusaidiane wakuu nawasilisha
500 kwa wenye elimu za juu ama?Leo nilikuwa na jamaa mmoja hivi nilikutana nae kwenye usahili PT,DPA kada tofauti ananiambia wao walikuwa 20 na walipewa ronja kuwa watachukua wa nne tu,jumla wameambiwa watachukua 500
Ndio kwa jinsi alivyoniambia jamaa500 kwa wenye elimu za juu ama?
Huenda ni sahihi na hatujajua kila kozi wanachukua watu wangapi??Ndio kwa jinsi alivyoniambia jamaa
Sijafanikiwa kumpata mkuu...vp utakuwa na mawasiliano yake unisaidieMcheki mrgeneous atakusaidia
Kwan hakuondok na kunguru wa manzese huyuHapana sina mawasiliano yake mkuu
Hawa bado wapo courseKwan hakuondok na kunguru wa manzese huyu
wanamaliza mwezi huu tar 17 kozi yao ni miezi minne tuuHawa bado wapo course
Tangu waende mbna miezi minne ishapita..wanamaliza mwezi huu tar 17 kozi yao ni miezi minne tuu
Jw vp kaka kimya sanawanamaliza mwezi huu tar 17 kozi yao ni miezi minne tuu
Chukua ndugu Yako mwenye vigezo tena wachache,kinachouma asiye na vigezo kupata nafasi wewe mwenye vigezo kukosa nafasi kama unamsaidia mtu awe na vigezo,ili usidhulumu nafasi za wengineVyovyote .hivi ungekuwa ofsa kule juu ungeweka wengine badala ya ndugu zako wanaotaabika kitaa ajira hamna?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa mkuu lakini majina si Badoo? Au imekuaje tenaa?Chukua ndugu Yako mwenye vigezo tena wachache,kinachouma asiye na vigezo kupata nafasi wewe mwenye vigezo kukosa nafasi kama unamsaidia mtu awe na vigezo,ili usidhulumu nafasi za wengine
Nilisikia the same nilipo kua usahili PT,DPALeo nilikuwa na jamaa mmoja hivi nilikutana nae kwenye usahili PT,DPA kada tofauti ananiambia wao walikuwa 20 na walipewa ronja kuwa watachukua wa nne tu,jumla wameambiwa watachukua 500
Dah...wote kwa pamoja Ccp itatosha kwl?Wakufunzi wa PT ni moja ya Wakufunzi bora sana katika Ukanda huu najua watakuwa na kibarua kigumu sana kuwatoa kuruti,koplo na wale nyota moja kwa wakati mmoja ila Mungu awasaidie mkatekeleze majukumu yenu wa uweledi sana.
Unaaa mwingi ndio mzuriLeo nmemuona sajini wa polisi Ferry pale wale wa Kigamboni hamjamuona yule yupo Full peke beji kibao ana mbwembwe unaa mwingi