Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Leo nilikuwa na jamaa mmoja hivi nilikutana nae kwenye usahili PT,DPA kada tofauti ananiambia wao walikuwa 20 na walipewa ronja kuwa watachukua wa nne tu,jumla wameambiwa watachukua 500
500 kwa wenye elimu za juu ama?
 
Vyovyote .hivi ungekuwa ofsa kule juu ungeweka wengine badala ya ndugu zako wanaotaabika kitaa ajira hamna?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Chukua ndugu Yako mwenye vigezo tena wachache,kinachouma asiye na vigezo kupata nafasi wewe mwenye vigezo kukosa nafasi kama unamsaidia mtu awe na vigezo,ili usidhulumu nafasi za wengine
 
Chukua ndugu Yako mwenye vigezo tena wachache,kinachouma asiye na vigezo kupata nafasi wewe mwenye vigezo kukosa nafasi kama unamsaidia mtu awe na vigezo,ili usidhulumu nafasi za wengine
Sahihi kabisa mkuu lakini majina si Badoo? Au imekuaje tenaa?
 
Op yangu nakumbuka ni chombo kimoja tu kilichowahi kuja kufanyisha usaili kikosini....ni police tu hv vingine havikugusa aseee....
 
Leo nilikuwa na jamaa mmoja hivi nilikutana nae kwenye usahili PT,DPA kada tofauti ananiambia wao walikuwa 20 na walipewa ronja kuwa watachukua wa nne tu,jumla wameambiwa watachukua 500
Nilisikia the same nilipo kua usahili PT,DPA
Ila watu walinipinga sana humu
Tusubiri tuone
 
PT inameremeta sana kipindi hiki mtaoenda huko hongereni sana tambueni kuna wenzenu tulitamani tupate nafasi hizo lakini haikuwa bahati kwetu,nendeni mkasimamie sana nidhamu yenu maana ndiyo msingi wa PT,miezi 9 siyo mingi kama una tafakuri ya mbali hayo ni maisha.
Msidanganyike kwa lolote maana nimesikia mtakutana na wakongwe chomboni (kozi ya uongozi mdogo koplo) nao watakuwa Moshi) pambaneni sana.
Hakuna kozi rahisi kozi ni kozi tu ila fungueni moyo.
Ajira za majeshi zinalipa sana.
 
Back
Top Bottom