Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Duuuh aisee Hv mambo gan yanaweza pelekea mtu kuwa unfit katikati ya kozi ukiachilia maswala Labda ya magonjwa?.......
Dah mzee pale ni kuna miyeyusho mingi mno wale madogo walioitwa wahasi kuna kitu wanafanyiwa sio kizuri kusema ukweli yani inaumiza ngoja ninyamaze tuu ila hii nchii dah inatia uchungu mno bora mjomba Jiwe angekuwepo tuu...

CDF yupo kimya

COS yuko kimya

DMP yuko kimya

DMI yuko kimya

Aisee ebu wangalieni wale vijana wanatia hurama sana ujue tatizo atujawahi expirience ishu ya uhasi ndomana tunachukulia easy tuu ila this is Bad wazee is very Worse....
 
UT&PT wanaviziana nn mbona kimya? kuna bato gani linaendelea, UT sio kawaida yao kabisa kukausha namna hii
 
Dah mzee pale ni kuna miyeyusho mingi mno wale madogo walioitwa wahasi kuna kitu wanafanyiwa sio kizuri kusema ukweli yani inaumiza ngoja ninyamaze tuu ila hii nchii dah inatia uchungu mno bora mjomba Jiwe angekuwepo tuu...

CDF yupo kimya

COS yuko kimya

DMP yuko kimya

DMI yuko kimya

Aisee ebu wangalieni wale vijana wanatia hurama sana ujue tatizo atujawahi expirience ishu ya uhasi ndomana tunachukulia easy tuu ila this is Bad wazee is very Worse....
Walirudishwa Kwa nguvu ya kisiasa jeshi likasalute.. likasema tutaona ukitolewa unfit kwasababu ya vyeti Majina yamepishana au huna NIDA huna pakushtaki
 
hutolewi unfit kukishaanza kozi, Unfit ni kipindi cha uzalendo yaan mnakaa jeshini hata miezi mitatu hamjaanza mafunzo halafu siku kama ivyofika tuu ya kufungua kozi ndio mchujo hapo mzee baba unasubiri tuu kupewa gonjwa lako urudi nalo kwenu[emoji23][emoji23]
Kuna dogo alikua six week kabisa kuna kovu lilionekana sio la kawaida maanake alipita Kwa maelekezo ila kwenye kifua game likaonekna akaondoshwa. UNFIT
 
unyama sana
 
Attachments

  • FB_IMG_16764991530822090.jpg
    FB_IMG_16764991530822090.jpg
    190.5 KB · Views: 21
Back
Top Bottom