Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 759
UT hii ni wiki ya 3 na PT hii ni wiki ya 2 lazima Morali za watu zishuke tofauti na ilivyokuwa kwenye applications & usaili. Na majibu yakitoka ndio Morali itakata zaidi Comrade'sYaan huku kumepoa hatari, ile morali kama inaanza kupotea wakubwa
Dah mzee pale ni kuna miyeyusho mingi mno wale madogo walioitwa wahasi kuna kitu wanafanyiwa sio kizuri kusema ukweli yani inaumiza ngoja ninyamaze tuu ila hii nchii dah inatia uchungu mno bora mjomba Jiwe angekuwepo tuu...Duuuh aisee Hv mambo gan yanaweza pelekea mtu kuwa unfit katikati ya kozi ukiachilia maswala Labda ya magonjwa?.......
Walirudishwa Kwa nguvu ya kisiasa jeshi likasalute.. likasema tutaona ukitolewa unfit kwasababu ya vyeti Majina yamepishana au huna NIDA huna pakushtakiDah mzee pale ni kuna miyeyusho mingi mno wale madogo walioitwa wahasi kuna kitu wanafanyiwa sio kizuri kusema ukweli yani inaumiza ngoja ninyamaze tuu ila hii nchii dah inatia uchungu mno bora mjomba Jiwe angekuwepo tuu...
CDF yupo kimya
COS yuko kimya
DMP yuko kimya
DMI yuko kimya
Aisee ebu wangalieni wale vijana wanatia hurama sana ujue tatizo atujawahi expirience ishu ya uhasi ndomana tunachukulia easy tuu ila this is Bad wazee is very Worse....
Kuna dogo alikua six week kabisa kuna kovu lilionekana sio la kawaida maanake alipita Kwa maelekezo ila kwenye kifua game likaonekna akaondoshwa. UNFIThutolewi unfit kukishaanza kozi, Unfit ni kipindi cha uzalendo yaan mnakaa jeshini hata miezi mitatu hamjaanza mafunzo halafu siku kama ivyofika tuu ya kufungua kozi ndio mchujo hapo mzee baba unasubiri tuu kupewa gonjwa lako urudi nalo kwenu[emoji23][emoji23]
Intake hii hasa PT watu kwenye usaili walikua n weng ndo maana hiko hivi ila next week watatoaIla pdf PT UT limechelewa mno ad sio poa..
Intake iliyopita Shahada walikua 600 tuIntake hii hasa PT watu kwenye usaili walikua n weng ndo maana hiko hivi ila next week watatoa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio maana Kuna Vikosi/Idara mbalimbali pale PT or UT Kwa ajili ya kurahisisha mambo.Intake iliyopita Shahada walikua 600 tu
Angalia intake hii Shahada walikua wangapi?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ππ½ππ½ππ½unyama sana
Kila la kheri wapambanajiUT..... Kila la kheri vijanaView attachment 2518788