Ile PDF majina yalivyo mmh,yamekaa kimchongo sanatumesema bongo hii pasipo koneksheni majeshi kupata ni ndoto, ila udini nao umejaa ,waliokosa poleni na waliopata MUNGU awe nanyi.
Tunazidi kukata Tamaa cjui PDF la polis litakuwajeIle PDF majina yalivyo mmh,yamekaa kimchongo sana
Majibu ya usaili yanatoka lini mkuuHaya wale wa kikosi afya vijana wangu kila la kheri na wengine pia all the best mjipange sasa
Vipi kaka umebahatika Awamu hii?tumesema bongo hii pasipo koneksheni majeshi kupata ni ndoto, ila udini nao umejaa ,waliokosa poleni na waliopata MUNGU awe nanyi.
Lonja ni watu 21 mkoa mzima..Msata nasikia wamepatikana Unfit 109 tena Jana wamerudishwa Home, vijana wa kimasikini tuna wakati mgumu sana😭
Jana Mwanza Wamepimwa Urefu na Vyeti ila lonja iliyopo wanachukua watu 10 tu mkoa
Ni lonja ama??Wakina kunguru wa Manzese wakimaliza tu mwezi wa tatu baada ya mda kidogo nyie mnaofanya usahili magereza sahivi pdf yenu inatoka
Duuh uko kweli kwepesi yaani hadi mto inamaana muda wa kulala ni wakutoshaunyama sana
Unahitaji kulifanyia kazi hili mapema nami nilikuwa na hii kitu nimeifanyia kazi na naifanyia kazi.Yani mimi nilivyokuwa na gundu naweza kwenda usaili wanaotakiwa watu kumi tukawa tupo kumi na Moja huyo mmoja atakayebaki Anaweza akawa ni Mimi [emoji2960]
Kuifanyia kazi kivipi tueleweshe mkuuUnahitaji kulifanyia kazi hili mapema nami nilikuwa na hii kitu nimeifanyia kazi na naifanyia kazi.
Ni 10 yupo sahihiLonja ni watu 21 mkoa mzima..
Ni uhakikaNi lonja ama??
Mkuu ni kujiconnect kwenye imani hilo si jambo la kawaida mpaka umegundua hivyo ujue ni neema.Kuifanyia kazi kivipi tueleweshe mkuu
Mtoto wa masikini kutoboa nchi hii iliyooza kwa rushwa na nepotism ni ngumu mno , hata ile ya juzi waliyokuwa wanaongea kwamba taasisi ziruhusiwe kuajiri zenyewe kuna mtu ni kawa namwambia mtoto wa kapuku asahau kuajiriwa huo mfumo ukirudi tena , sasa imagine majeshi tu humo watu wanaingiaga kwa kuhonga je hizo taasisi nyingine si ndio kwishney kabisaKwamba watu Wa kawaida wasio na refa wanapewa UNFIT Ili watoto Wa vigogo waingie katikati ya koz???
Ni 10 yupo sahihi
Yani hata iweje chiefMtoto wa masikini kutoboa nchi hii iliyooza kwa rushwa na nepotism ni ngumu mno , hata ile ya juzi waliyokuwa wanaongea kwamba taasisi ziruhusiwe kuajiri zenyewe kuna mtu ni kawa namwambia mtoto wa kapuku asahau kuajiriwa huo mfumo ukirudi tena , sasa imagine majeshi tu humo watu wanaingiaga kwa kuhonga je hizo taasisi nyingine si ndio kwishney kabisa