Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna watu wanazipata hizi nafasi halafu wanakimbia course.....
life not fair
Wengine huondoka kwa kupata sehemu nzuri zaidi. Intake iliyopita kuna wana walitoka kwa kupata sehemu yenye maslah makubwa zaidi...sasa mtu ashafika kambini afu mkeka wa utumishi unasoma umepata tengo la maana kwa nn uendelee kukomaa na msoto badala ya kwenda kula mshahara...ila wa design hii huwa hawatoroki wanatoa taarifa ya kuondoka labda wakikataliwa ndio waforce
 
Oya kwahyo Jw ni mpaka mwezi wa8 vipi lonja ya mwezi huu?? Na hyo mwezi wa 8 UT watakuja tena
JW mwez wa pili si majina nasikia bado hayajarudi wale walofanya usahili makambini......ngojea tuendelee kusikilizia nahisi na wenyewe wapo soon kuanza process za coz
 
Mamatron wanavutia
Ila kwa hapa ningeenda na MT makamanda
 

Attachments

  • 1676664555858_1676664555859.mp4
    6.5 MB
Pia hii intake inawatu wachache kumbe nikucompensate idadi iliyotakiwa intake iliyopita walitaka 1200+ ila hawakutimia
Ndege Tai
Mkuu sipingi ulichokiandika ila logically hakiingi akilini!

Wanafidia idadi iliyotakiwa 1200+ ila hawakutumia, hawakutimia kwasababu watu wa kwenda kujiunga na kozi walikosekana au walichaguliwa afu hawakwenda?( hata kama hawakwenda huwa kuna reserve kibao hawakuwapigia simu reserved?) Au watu walitoroka kozi katikati ya kozi au watu walipata unfit wengi? Yaani why hawakutumia hiyo 1200+ ilhali ajira zama hizi Tanzania ishakuwa lulu mkuu????

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
degree holders kama hauna mjomba huko juu, jipange na 3m otherwise vyombo vya ulinz utavisikia redio free ama UFM. kuna siri nzito sna huko juu
 
Back
Top Bottom