Ehee mambo yakiwa magumu kwako n Bora kuacha kuliko kuja kufa bureKuna watu wanazipata hizi nafasi halafu wanakimbia course.....
life not fair
Nilikuwa nasikiliza maneno ya Kanal Sijaona wa Rts Kihangaiko alisema wanaopanga kukimbia ndo wanaobania watu wenye nia na Jeshi.Kuna watu wanazipata hizi nafasi halafu wanakimbia course.....
life not fair
Wengine huondoka kwa kupata sehemu nzuri zaidi. Intake iliyopita kuna wana walitoka kwa kupata sehemu yenye maslah makubwa zaidi...sasa mtu ashafika kambini afu mkeka wa utumishi unasoma umepata tengo la maana kwa nn uendelee kukomaa na msoto badala ya kwenda kula mshahara...ila wa design hii huwa hawatoroki wanatoa taarifa ya kuondoka labda wakikataliwa ndio waforceKuna watu wanazipata hizi nafasi halafu wanakimbia course.....
life not fair
Intake ya MT au?Pia hii intake inawatu wachache kumbe nikucompensate idadi iliyotakiwa intake iliyopita walitaka 1200+ ila hawakutimia
Ndege Tai
JW mwez wa pili si majina nasikia bado hayajarudi wale walofanya usahili makambini......ngojea tuendelee kusikilizia nahisi na wenyewe wapo soon kuanza process za cozOya kwahyo Jw ni mpaka mwezi wa8 vipi lonja ya mwezi huu?? Na hyo mwezi wa 8 UT watakuja tena
Mkuu sipingi ulichokiandika ila logically hakiingi akilini!Pia hii intake inawatu wachache kumbe nikucompensate idadi iliyotakiwa intake iliyopita walitaka 1200+ ila hawakutimia
Ndege Tai
luteni ahsante sna, vp MT huko umefikia wapi?Mfwende mwanangu pole sana.....haya ndio maisha yetu kwa sasa kuna muda inabidi tuwe na maamuzi magumu tu hakuna namna maana jinsi hii nchi inavyokwenda daaah sio
Tushavijua vitu unapenda kiongozi 😂Mamatron wanavutia
Ila kwa hapa ningeenda na MT makamanda
Ni kweli. Afande Kanari Myala bana? Eti bomu likitupwa watu wasikimbie bali walikumbatie 🤣🤣🤣🤣 anapenda sana jeshi yuleNilikuwa nasikiliza maneno ya Kanal Sijaona wa Rts Kihangaiko alisema wanaopanga kukimbia ndo wanaobania watu wenye nia na Jeshi.
Ronja kali sanadegree holders kama hauna mjomba huko juu, jipange na 3m otherwise vyombo vya ulinz utavisikia redio free ama UFM. kuna siri nzito sna huko juu
Niliskia tar 22Chui wa kijani tupe lonja ya polisi wanaaachia lini pdf?
[emoji16][emoji16]anaongea kibabe sanaNi kweli. Afande Kanari Myala bana? Eti bomu likitupwa watu wasikimbie bali walikumbatie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anapenda sana jeshi yule
Hii ni kweli ninae ndugu yangu ametoa hio 3M netdegree holders kama hauna mjomba huko juu, jipange na 3m otherwise vyombo vya ulinz utavisikia redio free ama UFM. kuna siri nzito sna huko juu
Amepata?Hii ni kweli ninae ndugu yangu ametoa hio 3M net