Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Watu acheni unafiki na kutishana. Kuna watu mnaconnection humu lakini ndio nyie mnaokuja kuwatisha watu na kujifanya mnawapa moyo. Mf. Wewe unayejiita Mfwende na wenzako, mlikuwa mabingwa wa kusema hadi mlipokosa nafasi ndio mkasema mibanga yenu sijui imekuaje.

Punguzeni unafiki, kama unaconnection sema tu, siyo kuficha ficha mnadhani mtatoboa.
 
Hampaswi kuamini Kila kitu mnachoambiwa kama Lonja/Taarifa, vijana muwe na Amani kabsa.

Jeshi ni kubwa na ambao wanafatilia mchakato mzima Wa hizi Ajira za Polisi/Magereza ni idara ya Ajira ndani ya Jeshi.

Sizani kama Idara inaweza kutoa PDF kizembe hivyo Kwa raia Wa kawaida akaiona, mwenye nyota Moja tu hata mwenye V mbili hajaiona PDF Lakini mtu Wa kitaa anasema ameona PDF aisee!!

Tuwe serious basi [emoji120]
 
[emoji2][emoji2][emoji2]mkuu humu jf kuna watu wakubwa zaidi ya hata nyota hizo unazozitaja.....username hizi zione hivyo hivyo..
 
Dah ni kweli unachosema kiongozi, naamini viongozi na watu Wa wakubwa wapo humu

ila kusema umeona PDF na huku Kuna wenzako wanateseka kimoyomoyo kuisubiria PDF ya maisha yao na huku hawajui hatima Yao ni pressure Kwa walio wengi
 
Watu acheni unafiki na kutishana. Kuna watu mnaconnection humu lakini ndio nyie mnaokuja kuwatisha watu na kujifanya mnawapa moyo. Mf. Wewe unayejiita Mfwende na wenzako, mlikuwa mabingwa wa kusema hadi mlipokosa nafasi ndio mkasema mibanga yenu sijui imekuaje.

Punguzeni unafiki, kama unaconnection sema tu, siyo kuficha ficha mnadhani mtatoboa.
kweli watafutaji tuna stress na chronic depression,unafiki wangu ukowapii?
 
Watu acheni unafiki na kutishana. Kuna watu mnaconnection humu lakini ndio nyie mnaokuja kuwatisha watu na kujifanya mnawapa moyo. Mf. Wewe unayejiita Mfwende na wenzako, mlikuwa mabingwa wa kusema hadi mlipokosa nafasi ndio mkasema mibanga yenu sijui imekuaje.

Punguzeni unafiki, kama unaconnection sema tu, siyo kuficha ficha mnadhani mtatoboa.
Mkuu hapa unamuonea mfwende mpina mbona mshkaji alikuwa wazi sana toka mwanzo na aliwahi kili ana mbanga shida. Tuna matumizi mabaya sana ya neno "unafiki"...
 
Back
Top Bottom