Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni hzo wana, kushtuana huko [emoji23][emoji23]Pdf loading...
Chini ya masaa 24 toka sasa mkeka utakuepo wakuuAcheni hzo wana, kushtuana huko [emoji23][emoji23]
HalloChini ya masaa 24 toka sasa mkeka utakuepo wakuu
Utapata mkuukila nikifikilia kuna kupata na kukosa nachanganyikiwa
Amina na iwe hivoUtapata mkuu
Tusahau kidogo tusiiwazie[emoji3]...uwenda hata wiki hii wasitoe...Pdf loading...
Alhamisi....pdfTusahau kidogo tusiiwazie[emoji3]...uwenda hata wiki hii wasitoe...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapana, lazima wiki hii mzigo uteme mkuu.Tusahau kidogo tusiiwazie[emoji3]...uwenda hata wiki hii wasitoe...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Week hii haiwezi pita bila kutoa pdfTusahau kidogo tusiiwazie[emoji3]...uwenda hata wiki hii wasitoe...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna wilaya nimepita, nimekuta vijana wa form 4 ndio wanafanya usaili leoChini ya masaa 24 toka sasa mkeka utakuepo wakuu
MT hao.,!!Kuna wilaya nimepita, nimekuta vijana wa form 4 ndio wanafanya usaili leo
Aaaah mkuu, hebu amka sasa ni ndoto hiyo kamanda.Kuna wilaya nimepita, nimekuta vijana wa form 4 ndio wanafanya usaili leo
Unabisha ukiwa na fact au unaamua tu kubisha kwa kuwa unataka Ligi?Aaaah mkuu, hebu amka sasa ni ndoto hiyo kamanda.
Dah nimecheka sana watu mnajifanya wajuaji sana. Anyways, Kuna wilaya PT usaili ulikuw bado haujakamilika kwa sababu fulani. Nafahamu kuna wilaya za mkoa wa Moro usaili umefanyika leo.Aaaah mkuu, hebu amka sasa ni ndoto hiyo kamanda.
Waambie ukweli tu mkuu ,usiwadanganye[emoji23]Dah nimecheka sana watu mnajifanya wajuaji sana. Anyways, Kuna wilaya PT usaili ulikuw bado haujakamilika kwa sababu fulani. Nafahamu kuna wilaya za mkoa wa Moro usaili umefanyika leo.