Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Vitu vizuri havitak pupa. PT sio kibarua Cha kumwaga zege kwamba umelala, umeamkia kazin.
It needs someone Ako na uvumilivu na mtulivu wa akir.
👉 Msije mkashangaa kuona mkeka wa PDF unatoka April 🙄🤮
 
Hawa ndio wanasababisha majani ya kondeni yapigwe marufuku
Yani katoka alipotoka kaweka bando aingie social media tena kachagua jukwaa lenye mabillion of people kupotosha umma...ka ametumwa na Lema vile..Ajira zipo znakuja sio muda subra inahitajika tena watu wengi tu ndani ya chombo
 
Yani katoka alipotoka kaweka bando aingie social media tena kachagua jukwaa lenye mabillion of people kupotosha umma...ka ametumwa na Lema vile..Ajira zipo znakuja sio muda subra inahitajika tena watu wengi tu ndani ya chombo
NA ndio wazazi wetu tunaowategemea
 
PT bora waachie mkeka hf prosesi zingine waendelee nazo...Kadri muda unavgozid kweny mamluki nai wanakuwa wengi...na Watu wnawasubiria
 
Subir baba kanituma wamalize kupachikwa ndio watoe pdf...
Kazi ipo,mda unavyoenda ndo insecurities inaongezeka,hasa ukiwa huna interview kalibuni means hunasehem nyingine unayosikilizia Ila unyama tu kwa mim nimezoea ✌️
 
Kwa wastani wa chini kwa sheria ya idara za ulinzi na usalama umoja wa mataifa (UN) kila Askari mmoja anakuwa kwa raia 425 minimum...Tanzania ndio kwanza tupo in level kila askari mmoja raia 1340 sasa inabid watu tuwe waelewa Idara ya ulinzi na usalama kuna process kubwa hususan police..Idara hiyo sio km Idara ya jela kwmba wanakuta mtu tayari kakutw ni Curplit na makosa anawekw ndan ya kundi analindwa na Askari kadhaa..📌
 
JKT Wameanza kuapa leo wakuu... kwahyo hapo inategemea kuna kitu mbeleni hapo wameapa mapema sana inaonekana kitenge kitarudi tena makambini
 
Back
Top Bottom