Ahsante mkuu. Kidogo nizimeAjira zipo jamani ila zitachelewa tu kutoka kuna process inafanyika kdgo kwahyo Inahitaji Patience..Wachen kupotosha watu kwny social networks
Na pdf ikitoka cndo utakufa kabisa kamanda... Hahahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na pdf ikitoka cndo utakufa kabisa kamanda... Hahahahahaha
Hawa ndio wanasababisha majani ya kondeni yapigwe marufukuWenzenu Ulaya wakitumia vya jamaica huwa wanalala au ku relax nyie mnashika simu ndo matokeo yake mnapotosha umma..Em kama hujui ktu kaa kimya
Yani katoka alipotoka kaweka bando aingie social media tena kachagua jukwaa lenye mabillion of people kupotosha umma...ka ametumwa na Lema vile..Ajira zipo znakuja sio muda subra inahitajika tena watu wengi tu ndani ya chomboHawa ndio wanasababisha majani ya kondeni yapigwe marufuku
NA ndio wazazi wetu tunaowategemeaYani katoka alipotoka kaweka bando aingie social media tena kachagua jukwaa lenye mabillion of people kupotosha umma...ka ametumwa na Lema vile..Ajira zipo znakuja sio muda subra inahitajika tena watu wengi tu ndani ya chombo
Kazi ipo,mda unavyoenda ndo insecurities inaongezeka,hasa ukiwa huna interview kalibuni means hunasehem nyingine unayosikilizia Ila unyama tu kwa mim nimezoea ✌️Subir baba kanituma wamalize kupachikwa ndio watoe pdf...
Order imetoka toka jana wameanza kuitwa kuripoti msata kwa baadhi ya vikosi waende kuripoti msataJKT Wameanza kuapa leo wakuu... kwahyo hapo inategemea kuna kitu mbeleni hapo wameapa mapema sana inaonekana kitenge kitarudi tena makambini
Yes na huu ndio ukweli....Order imetoka toka jana wameanza kuitwa kuripoti msata kwa baadhi ya vikosi waende kuripoti msata
@methodinhoOrder imetoka toka jana wameanza kuitwa kuripoti msata kwa baadhi ya vikosi waende kuripoti msata