Sema JayWiii Mamb yao huwa yako organised Sana ...PT & MT ndo wenge.
Naam sahihiOrder imetoka toka jana wameanza kuitwa kuripoti msata kwa baadhi ya vikosi waende kuripoti msata
Mwez wa 5 jwtz mafunzo yanaanza.JKT Wameanza kuapa leo wakuu... kwahyo hapo inategemea kuna kitu mbeleni hapo wameapa mapema sana inaonekana kitenge kitarudi tena makambini
Kazi kwenu vijana mliojitolea kwa miaka miwili JKT....
Bango linajieleza mujibu wa sheria tunywe maji mengi
Mujibu wa sheria wametuchinjilia mbali yawezekana hatukupitia JKT aisee[emoji2]Bango linajieleza mujibu wa sheria tunywe maji mengi
Nipo mkuu vp kuna mbanga nini@methodinho
So Ile lonja ya kusema na MT wamekata Mujibu inaweza kua kweliMujibu wa sheria wametuchinjilia mbali yawezekana hatukupitia JKT aisee[emoji2]
Yawezekana mkuuSo Ile lonja ya kusema na MT wamekata Mujibu inaweza kua kweli
Kwahyo mujibu hawatakiwi tena jw au sijaelewa vzrMujibu wa sheria wametuchinjilia mbali yawezekana hatukupitia JKT aisee[emoji2]
Bogi lao litakua la kwao nadhan ndo hawa wanafatwa vyuoni siku hizi kama lile la medicalKwahyo mujibu hawatakiwi tena jw au sijaelewa vzr
Omba usiogope...kuna proffession wanazihitaj watachukua tuMujibu wa sheria wametuchinjilia mbali yawezekana hatukupitia JKT aisee[emoji2]
Dah tatzo unaweza omba unaitwa usaili unachoma nauli unafika unaambiwa mujibu wa sheria hamtakiwi[emoji2]Omba usiogope...kuna proffession wanazihitaj watachukua tu
Jeshi huwa liko makini sio MT ukiitwa jaywii ujue wamekuzingatiaDah tatzo unaweza omba unaitwa usaili unachoma nauli unafika unaambiwa mujibu wa sheria hamtakiwi[emoji2]
Sawa mkuu ngoja tuforce kuomba japo umri pia wamekaza sana 27 years bachelor duh[emoji2]Jeshi huwa liko makini sio MT ukiitwa jaywii ujue wamekuzingatia
Kabisa mkuu lazma yatakuwa maelekezoMi navyoona kwa mtazamo wangu,mujibu hawezi toboa hapa hayo ni maelekezo yametoka juu