Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Mujibu hutoboi labda kama huna connection kuna dada aliingia kupitia bogi la afya yeye amesoma mamb mengine kabsa.Mi navyoona kwa mtazamo wangu,mujibu hawezi toboa hapa hayo ni maelekezo yametoka juu
Leteni Tangazo Full basi Hilo la Nafasi za Kazi JWTZ
DuuuuuhBogi lao litakua la kwao nadhan ndo hawa wanafatwa vyuoni siku hizi kama lile la medical
Mkuu ebu tusiwaongelee hao tujiongelee sisi kwanza watoto wa maskini ambao sisi ndo tunategemewa tuje badirisha mazingira ya homeMujibu hutoboi labda kama huna connection kuna dada aliingia kupitia bogi la afya yeye amesoma mamb mengine kabsa.
Jw hawana hiyana kama watakuita basi unaweza kutoboaMkuu ebu tusiwaongelee hao tujiongelee sisi kwanza watoto wa maskini ambao sisi ndo tunategemewa tuje badirisha mazingira ya home
Watoto ambao hatuna mtu wakutushika mkono kama huyo dada tunapojadir tubase huko je mujibu wa sheria tutatoboa au wanaruhusiwa kuomba ?
Wamekaza kinoma sasa Mujibu wa sheria tutakuwa ombaomba tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nakataa unaweza ukaitwa... Cku ya ukaguzi wa vyeti ukachomolewaJw hawana hiyana kama watakuita basi unaweza kutoboa
Ila mambo ya mbanga yapo pale pale... Wakufanikishwa magumu yakukuzuiaHii nakataa unaweza ukaitwa... Cku ya ukaguzi wa vyeti ukachomolewa
Kuna mwana Lile bogi la afya aliitwa kulipokagua vyeti hakuwa na leseni yaan ilivyo Ili mtaalam afya uwe kamili kufanya kazi hospital unatakiwa uwe na leseni kutoka Baraza lako. Hakuwa nayo akarudishwa
Daaaah kwani utaratibu upoje hapo mkuu jinsi ya kuomba tuliokuwa kitaani maana umri nao ushasogea
Hii kitu ngumuJust imagine kwa wenye degree!! Yan uwe una miaka isiyozidi 27! Hapo hapo uwe na cheti cha kujitolea daah!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo mwisho kasema utume kwa mkuu wa utumishi Makao makuu so apo ndugu yangu inahitaji uandike barua ya maombi bila kujali upo kambini au mtaaniDaaaah kwani utaratibu upoje hapo mkuu jinsi ya kuomba tuliokuwa kitaani maana umri nao ushasogea
Samahani mkuu hawa vijana walifunga mafunzo kuazia juzi inawahusu hii?Order imetoka toka jana wameanza kuitwa kuripoti msata kwa baadhi ya vikosi waende kuripoti msata
Mkuu ni kweli alichomolewa siku wanaijiwa kambini kwenda rts kihangaiko lakini alipiga simu moja kesho yake akaijiwa hapo kambini.Hii nakataa unaweza ukaitwa... Cku ya ukaguzi wa vyeti ukachomolewa
Kuna mwana Lile bogi la afya aliitwa kulipokagua vyeti hakuwa na leseni yaan ilivyo Ili mtaalam afya uwe kamili kufanya kazi hospital unatakiwa uwe na leseni kutoka Baraza lako. Hakuwa nayo akarudishwa
mbona maelezo yanajieleza ni vijana waliojitolea miaka miwili na wakarudishwa nyumbani.kama umewahi kujaza form no 26 na 27 na ukarudi hii inakuhusuSamahani mkuu hawa vijana walifunga mafunzo kuazia juzi inawahusu hii?