On the Field mambo sio rahisi kihivyo kaka,from no where tuu mtu akupe chance ambayo kwanza anakupa Kwa njia ambayo sio rasmi mbaya Zaid anatangaza kabisa hadharan hahahahaaaa...Ngoja tuoneKaka nimeiona muda sema sjui chief kama atakuwa kaona ujumbe wangu
Mnachoshindwa kuelewa kuwa mujibu wa sheria yeye anaenda jeshini kupata ukakamavu na imsaidie huko aendako hata akiajiriwa na si vinginevyo ila wa kujitolea yeye anaingia jeshini kujifunza stadi za maisha na kuomba au kuajiriwa kwenye majeshi endapo kama nafasi zitatolewa.So Ile lonja ya kusema na MT wamekata Mujibu inaweza kua kweli
Umeelezea vitu tunavovijua anyway mchango mzuriMnachoshindwa kuelewa kuwa mujibu wa sheria yeye anaenda jeshini kupata ukakamavu na imsaidie huko aendako hata akiajiriwa na si vinginevyo ila wa kujitolea yeye anaingia jeshini kujifunza stadi za maisha na kuomba au kuajiriwa kwenye majeshi endapo kama nafasi zitatolewa.
Sasa wewe mujibu wa sheria hata hao sijui polisi kuwaajiri ilikuwa ni favour tu hukustahili ndo maana hata magereza wenyewe wameona ni uduanzi mtupu, mtu unasoma chuo halafu zinatoka nafasi za majeshi unaomba yani hapo unafanya vitu viwili kwa wakat mmoja wakati mwenzako yupo ndani ya kikosi yeye hasomi ni anategemea hizo ajira.
Mujibu wa sheria TPDF wapi na wapi ndugu yangu huwa ni afsa cadet wale wanaofanyiwa usahili tena wakiwa ndani ya mafunzo tofauti na hapo sahau lbda uwe na mbanga wa kwenda tena jeshi hili la MKUNDA ndo basi kabisaaa!Kwahyo mujibu hawatakiwi tena jw au sijaelewa vzr
Kama taasisi itahitaj proffesionals, huwez epuka kuchukua wa mujibu kwa kuwa ndio wamesoma, ila kwa nafasi zingine basi waliojitolea inatakiwa wawe priority kabisaMnachoshindwa kuelewa kuwa mujibu wa sheria yeye anaenda jeshini kupata ukakamavu na imsaidie huko aendako hata akiajiriwa na si vinginevyo ila wa kujitolea yeye anaingia jeshini kujifunza stadi za maisha na kuomba au kuajiriwa kwenye majeshi endapo kama nafasi zitatolewa.
Sasa wewe mujibu wa sheria hata hao sijui polisi kuwaajiri ilikuwa ni favour tu hukustahili ndo maana hata magereza wenyewe wameona ni uduanzi mtupu, mtu unasoma chuo halafu zinatoka nafasi za majeshi unaomba yani hapo unafanya vitu viwili kwa wakat mmoja wakati mwenzako yupo ndani ya kikosi yeye hasomi ni anategemea hizo ajira.
Hatari huyo unaambiwa hapindishi wanamwita Mwamunyange wa pili
Sio kweli! Ingekuwa hivyo basi mujibu wa sheria wangeruhusiwa kujitolea! Lakini ukishapita mujibu wa sheria huruhusiwi tena kujitolea! Nini maana yake? Pia ni utaratibu tu uliopo wengine wataingia kwa kujitolea na wengine kwa mujibu wa sheria! Fuatilia zamani jkt watu walikuwa wanapitia kwa mujibu tena ni mwaka mzima! So kila kitu ni utaratibuMnachoshindwa kuelewa kuwa mujibu wa sheria yeye anaenda jeshini kupata ukakamavu na imsaidie huko aendako hata akiajiriwa na si vinginevyo ila wa kujitolea yeye anaingia jeshini kujifunza stadi za maisha na kuomba au kuajiriwa kwenye majeshi endapo kama nafasi zitatolewa.
Sasa wewe mujibu wa sheria hata hao sijui polisi kuwaajiri ilikuwa ni favour tu hukustahili ndo maana hata magereza wenyewe wameona ni uduanzi mtupu, mtu unasoma chuo halafu zinatoka nafasi za majeshi unaomba yani hapo unafanya vitu viwili kwa wakat mmoja wakati mwenzako yupo ndani ya kikosi yeye hasomi ni anategemea hizo ajira.
Mnachoshindwa kuelewa kuwa mujibu wa sheria yeye anaenda jeshini kupata ukakamavu na imsaidie huko aendako hata akiajiriwa na si vinginevyo ila wa kujitolea yeye anaingia jeshini kujifunza stadi za maisha na kuomba au kuajiriwa kwenye majeshi endapo kama nafasi zitatolewa.
Sasa wewe mujibu wa sheria hata hao sijui polisi kuwaajiri ilikuwa ni favour tu hukustahili ndo maana hata magereza wenyewe wameona ni uduanzi mtupu, mtu unasoma chuo halafu zinatoka nafasi za majeshi unaomba yani hapo unafanya vitu viwili kwa wakat mmoja wakati mwenzako yupo ndani ya kikosi yeye hasomi ni anategemea
Tupo humu subiri selection zitokee hutoamini kitakachotokea! Lolote linaweza kufanyika ww sio msemaji wa jeshi! Ni heri ukaandika kama maoni ila sio kama msemaji wa jeshiMnachoshindwa kuelewa kuwa mujibu wa sheria yeye anaenda jeshini kupata ukakamavu na imsaidie huko aendako hata akiajiriwa na si vinginevyo ila wa kujitolea yeye anaingia jeshini kujifunza stadi za maisha na kuomba au kuajiriwa kwenye majeshi endapo kama nafasi zitatolewa.
Sasa wewe mujibu wa sheria hata hao sijui polisi kuwaajiri ilikuwa ni favour tu hukustahili ndo maana hata magereza wenyewe wameona ni uduanzi mtupu, mtu unasoma chuo halafu zinatoka nafasi za majeshi unaomba yani hapo unafanya vitu viwili kwa wakat mmoja wakati mwenzako yupo ndani ya kikosi yeye hasomi ni anategemea hizo ajira.
Vizuri Sana Mkuu Mungu akuzudishieWana jf nahitaji kutoa msaada kwa watu wawili free yaan aende kiroho saaafii
Ila mmoja awe form4 plain,na mwengine mwenye taaluma ila wawe na vyeti vya jakata
.Tupo humu subiri selection zitokee hutoamini kitakachotokea! Lolote linaweza kufanyika ww sio msemaji wa jeshi! Ni heri ukaandika kama maoni ila sio kama msemaji wa jeshi
Kwa kigezo chako fani utawatoa wapi?Mnachoshindwa kuelewa kuwa mujibu wa sheria yeye anaenda jeshini kupata ukakamavu na imsaidie huko aendako hata akiajiriwa na si vinginevyo ila wa kujitolea yeye anaingia jeshini kujifunza stadi za maisha na kuomba au kuajiriwa kwenye majeshi endapo kama nafasi zitatolewa.
Sasa wewe mujibu wa sheria hata hao sijui polisi kuwaajiri ilikuwa ni favour tu hukustahili ndo maana hata magereza wenyewe wameona ni uduanzi mtupu, mtu unasoma chuo halafu zinatoka nafasi za majeshi unaomba yani hapo unafanya vitu viwili kwa wakat mmoja wakati mwenzako yupo ndani ya kikosi yeye hasomi ni anategemea hizo ajira.
uhakika tutabanana humo humo cheti ni kile kile mujibu na kujitolea cha muhimu tutume tu maombi kuliko kutokutuma huwezi jua ya Mungu mengiMujibu tunaenda rts au mnasemaje wanangu
Umo umo unawezakuta ww ndo umechaguliwa ili kuonesha kuwa hakuna tofaut ya mujibu na kujitolea😂😂uhakika tutabanana humo humo cheti ni kile kile mujibu na kujitolea cha muhimu tutume tu maombi kuliko kutokutuma huwezi jua ya Mungu mengi
Jidanganyeni mnajitekenya na kucheka wenyeweUmo umo unawezakuta ww ndo umechaguliwa ili kuonesha kuwa hakuna tofaut ya mujibu na kujitolea[emoji23][emoji23]
Kwaiyo waliosema Ni kwa ajili ya waliojitolea Miaka miwili hawajui tofauti siouhakika tutabanana humo humo cheti ni kile kile mujibu na kujitolea cha muhimu tutume tu maombi kuliko kutokutuma huwezi jua ya Mungu mengi
Kujitolea ndio wenye jeshi mujibu Ni wapita njia tu nd maana mnapigishwa seminar ya miez mitatu af wa kujitolea sio wote 4m 4 dg degree wapo kibaoMkuu nafikiri hawa wa kujitolea huwa wanajiona wana ka uspecial fulani hivi kuliko wa mujibu wa sheria, wakati mara nyingi wa kujitolea huishia hivi vyeo vya sergeant maana wengi hawajasoma wameishia form four, halafu hao wa mujibu wakipata nafasi wengi huenda kuwa officers
Waacheni watoto wetu wazuri hawa ndo wanatuletea pesa vikosini, nyie wakulungwa pambaneni hukoKujitolea ndio wenye jeshi mujibu Ni wapita njia tu nd maana mnapigishwa seminar ya miez mitatu af wa kujitolea sio wote 4m 4 dg degree wapo kibao