Mnachoshindwa kuelewa kuwa mujibu wa sheria yeye anaenda jeshini kupata ukakamavu na imsaidie huko aendako hata akiajiriwa na si vinginevyo ila wa kujitolea yeye anaingia jeshini kujifunza stadi za maisha na kuomba au kuajiriwa kwenye majeshi endapo kama nafasi zitatolewa.
Sasa wewe mujibu wa sheria hata hao sijui polisi kuwaajiri ilikuwa ni favour tu hukustahili ndo maana hata magereza wenyewe wameona ni uduanzi mtupu, mtu unasoma chuo halafu zinatoka nafasi za majeshi unaomba yani hapo unafanya vitu viwili kwa wakat mmoja wakati mwenzako yupo ndani ya kikosi yeye hasomi ni anategemea hizo ajira.